Harusini karakata! Kituko cha mwaka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Tumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na kuanza kupigana bila woga ni taharuki njaa zinauma na masufuria ya pilau yamemwagikiwa na dumu kubwa la maji kwenye purukushani za kuwatimua panya! Kila mtu anaongea lake!
 
Up Todates...! Zahama la panya limetulia ila limeibuka lingine chakula kidogo kilichosalia kimerudishwa ndani, wenye binti wanataka mahari imaliziwe ndio mengine yote yaendelee
 
Up Todates...! Zahama la panya limetulia ila limeibuka lingine chakula kidogo kilichosalia kimerudishwa ndani, wenye binti wanataka mahari imaliziwe ndio mengine yote yaendelee

Umetisha mshana na hii kazi.
 
Hahahahaha kwahiyo mshana jr ubwabwa umekula au ndio umerudishwa ndani
 
Last edited by a moderator:
mwishowe tumeonja tuu... manake wahudhuriaji lundo msosi kiduchu, wengine sie kugombea hatuwezi

Mahari hamjamaliza halafu mnaleta ukoo mzima na mnataka mshibe ndio maana wameingiza ubwabwa wao ndani wale wenyewe jioni
 
folk sio story ni tukio la kweli, baada ya maridhiano ndoa imefungwa tumeondoka kufika njiani tukakumbuka tumesahau kubeba vyombo vya bi harusi

Ahahaaaaha!! Nimecheka saaana kama ishu za zamani za Buricheka.
 
Hahahah mipanya buku eh,mi naiogopaga!lol
 
y my angel? Au ni hiki kimvua? Kama vp tuahirishe ujenzi wa taifa turudi hm tukajipe raa!

Yani we acha tu, hangovers za jana, na mvua na kibaridi hiki naona km kinaninyevua. Apa leo tusifike saa 10 unusu baby. Kila mmoja atafute kisababu kabisa cha kusepetuka kwa ofis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…