May GOD help us.Usihofu vita kuu ya tatu ya dunia muda wake bado haujafika. Hii ni dalili tu na si rasharasha, vita kamili vitakuja utakapoona mataifa mengi yako kinyume na israel na yakaunda umoja kwenda kupigana nayo.
Harmagedoni ndio vita kubwa na hatari tupu, silaha kali za kisasa kutumika ikiwemo za mionzi
Yeah, rejea sababu za ww1 utagundua sababu zinafana fanana na kinachotaka kuendelea Sasa hivi. Historia ni Kama inajirudia.I think we have all the red light already.
Huu utoto mnautoaga wapi?