Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kama ikitokea mamlaka huru ikapiga hesabu ya pesa, nyenzo na muda vilivyotumika kuzuia maandamano ya maombolezo ya CHADEMA ya leo tar 23.09.2024 basi kuna watu wanaweza kuwajibishwa pakubwa sana..!
Fursa fursana .. Kufa kufaana...! Kwa kauli ile ya kula kwa urefu wa kamba ..maandamano haya yalikuwa ni fursa nyingine ya upigaji
Kama kuna wahusika kwenye haya maandamano muda huu wako sehemu za starehe wanajenga heshima mfano tu wa kimtazamo. Bajeti ya mafuta watu wamepiga,Bajeti ya service za magari watu wamepiga,Bajeti ya sare watu wamepiga
Bajeti ya service ya silaha watu wamepiga,Bajeti ya posho watu wamepigaBajeti ya vitendea kazi watu wamepiga,Bajeti ya mawasiliano watu wamepiga.
Bajeti ya kukamata na kushikilia waandamanaji watu wamepiga,Bajeti ya matangazo mitandaoni na kwenye vyombo vya habari watu wamepiga Nknk. Kuna washika dau wameyashukuru maandamano ya CHADEMA kwakuwa, Madeni yatalipwa wiki hii Kuna uwekezaji utafanyika/ utaendelezwa Kuna site zitafufuka tena
Kuna wauza vifaa vya ujenzi watauza Kuna mafundi watapata Kazi, Kuna karo za shule zitalipwa,Kodi za nyumba hata za vimada zitalipwa
Michango ya harusi na vikoba,Marejesho ya bank na taasisi za fedha,Sadaka nyumba za ibada, Kupendezesha nyumba,Matengenezo ya magari nknk.
Kwa kifupi maandamano yameleta neema kwa washika dau na hasara kwa mamlaka
Kuna mmoja kasikika akisema anatamani CHADEMA watangaze tena maandamano mwezi ujao maana ame clear vimeo vingi sana
Falsafa ya kula kwa urefu wa kamba! Washika dau wameielewa na kuikubali sana!
Wakikujua udhaifu wako.. Watakutumia watakavyo halafu kwa manufaa binafsi...kishapo wakikuchoka.. Watakusaliti.. Kikulacho ki nguoni mwako.. Na mwanadamu kamwe haridhiki.. Hatosheki..!
Mene mene tekeli...🥺🤔🙇🏿♂
Soma Pia:

- Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
- Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
- Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa Chadema Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa