MAYANGA SALUMU CHANGUHELA
Member
- Aug 11, 2022
- 16
- 10
Elimu ni kitendo cha kuamisha ujuzi kutoka kwa mtu mmoja(mwalimu) kwenda kwa mtu mwingine (mwanafunzi). Ili tuseme mtu ameelimika tutampima kwa mabadiliko ya tabia baada ya kupata elimu mfano kujenga choo unapopewa elimu ya umuhimu wa choo, kutumia elimu kutatua changamoto zinazokuzunguka katika jamii na kutumia changamoto kama fursa, kutumia elimu kuelimisha wengine.
Kwanini viboko (fimbo) zinatumika katika elimu ?
Zinatumika katika elimu ili kulazimisha mtu kufanya jitihada kuelewa ujuzi aliopewa ikiwa njia njia ya ushawishi na kuamasisha haijaleta tija na msukumo wa kwa wengine kufanya vizuri.
Faida ya kutumia viboko(fimbo) inamuezesha mwanafunzi kutumia njia mbalimbali katika kuelewa ujuzi aliofunzwa ili kuepukana na adhabu ya viboko, Kurekebisha tabia kwa wanafunzi wanaofanya mambo kinyume na utaratibu.
Hasara za viboko ( fimbo) kujenga moyo wa chuki na kisasi zidi ya mtoa adhabu, ufanya wanafunzi kuchukia somo.
Je tufanyeje? Kufundisha kwa kutumia zana za ufundishaji ili kufanya wanafunzi kupata ujuzi kwa uwepesi zaidi na kufanya wanafunzi kuelewa kwa uharaka zaidi, kuwashawishi wanafunzi kulipenda somo kwa kuwaelimisha umuhimu wa kusoma hilo somo, kumuambika kosa lake ili ajue kwanini anaadhubiwa na adhabu ifanyike punde kosa linapotendeka ili kujenga uhusiano katika ya kosa na adhabu

Upvote
0