Hasara na Faida za Corona

Hasara na Faida za Corona

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia;

1. Binadamu sasa Tunamjua Mungu
2. At least Nidhamu inarudi na usawa,wote tunaongea lugha moja kwa sasa anaejaribu kujiona yeye ni Top! Inamtokea puani, Mf. Bill Gates.
3. Starehe zimepungua. Yaani kama shetani ana kipindi kigumu basi ni sasa.
4. Familia sasa zimekuwa na ubunifu wa Hali ya juu. Mfano: Nyumbani kwangu nimegundua kumbe wife ni kinyozi mzuri kuliko hata ile saloon ya 10,000 na dada wa kazi Anajua kusuka mno. Yaani we acha tu!

Je, wewe?
 
1. Waraibu wa betting wameacha
2. Usawa kwenye matibabu,hakuna cha waziri kwenda sijui India wote tunabanana nao humuhumu.
3. Upendo wa famili umerudi.
 
Hakuna faida .labda football betting waliokuwaa wanapoteza pesa huko wamepumzika
 
Duuuu kila siku uchumi unapanda sasa itaonekana wazi uchumi umepanda kwao au kwa wananchi
 
Back
Top Bottom