Hasara za kutongoza mtandaoni

Wachache sana, ukija kwa lengo la kutafuta mapenz hupati ila kwa njia ya urafiki kawaida wapo wengi sana inategemea na namna unavyoonekana kwenye michango yako mitandaoni.
Kama mimi wakati najiunga JF hata nilikuwa sijui kama kuna mambo ya mapenzi huku zaidi ya kupata habari na ubuyu basi.

Kaka mzuri mjanjaaaa, imagine alinispot mwaka uleule niliojiunga! Nilikuwa kadogo na misimamo kibaoooo, ila fala yule akakaza hadi akanipata!

Thou nilikuja kumzingua hapo kati ila nimerudi kwake & the rest is history.
Na naweza kusema bila shaka kabisa he is the love of my life.
 
Umekamatika jumla hongereni.

Watu wa humu ni wale wale tu huko mitaani kwahiyo watu sahihi na wenye upendo wa kweli wapo hadi huku mitandaoni.
 
Sema inawezekana si unaona hata meet us
 
Mimi naamini mapenzi yanaweza anzia popote iwe kitaa ama kwa mtandao ila muhimu muwe maeneo ya jirani. Kutunza mapenzi ya mbali ni kazi na hapa wengi tumefeli.
 
Happy to hear mmerudiana my super couple , hadi kifo kije kiwatenganishe🙏
 
Mimi naamini mapenzi yanaweza anzia popote iwe kitaa ama kwa mtandao ila muhimu muwe maeneo ya jirani. Kutunza mapenzi ya mbali ni kazi na hapa wengi tumefeli.
Hapo kwenye umbali ndo tatizo.
 
Binafsi mwanamke akisha toka njee ya territorial jurisdiction yangu .pesa yangu ana baki kuiskia kwa matumaini kama vile cdm wanavyo isikia Ikulu

Hii ndio iwe kanuni,vijana waelewe,usihudumie mwanamke ambaye yuko mbali,unless awe mama watoto ama ndugu wa damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…