sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 525
- 184
Pepmis ni mfumo mpya ambao kuna baadhi ya watumishi bado unawaletea shida. Wangeacha kwanza huu mfumo watu wauelewe kwanza hata zaidi ya mwaka mmoja then baadae utumike. Halafu pia Internet pia ni gharama nyingine.Acha kutetea uzembe, pepmisi kujaza ni rahisi kuliko kuanzisha Uzi JF.
Ubovu wamfumo ni uhamisho tu.
Acha uongo ww mfumo rahis snPepmis ni mfumo mpya ambao kuna baadhi ya watumishi bado unawaletea shida. Wangeacha kwanza huu mfumo watu wauelewe kwanza hata zaidi ya mwaka mmoja then baadae utumike.
Halafu pia Internet pia ni gharama nyingine
Hivi mkuu unajua kuna mtu hata ku install app tu kwenye simu hajui na ni mtumishi? Haya mambo yapo asee so anaeona ugumu muelewe tuAcha uongo ww mfumo rahis sn
Inakula muda mwingi sana kwa watumishi kuelekeza nguvu nyingi kujaza wakati mtandao ni hafifu matokeo yake watumishi wanaacha kuhudumia watu wanajikita kujaza hiyo mifumoHongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.
Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi akijichanganya kujaza pepmis au msimamizi wake akimpa score chini ya 60 inamfanya mtumishi akose haki zake mbalimbali. Mfano huu mwaka kuna watumishi mbalimbali hawajapandishwa sababu ya pepmis kutokujaza au kuscore chini ya 60.
TUCTA, TUGHE wamekuwa wakimya sana kutetea haki za watumishi.Huwezi weka vigezo vya pepmis kuwa hupandi cheo au hupati mshahara kama hujajaz malengo. Serikali ifikirie hili swala kwa jicho lingine maana huu mfumo uko very biased na aioneshi uhalisia uwajibikaji wa mtumishi. Madhara ya pepmis yanaweza kuwa makubwa kuliko serikali kilichotarajia.
Watumishi wanazidi kuonewa kutoka kwenye kikokotoo hadi pepmis. YOTE haya yanasababishwa na watumishi kuwa Wapole kutetea haki zao.
Lengo la pepmis kunyima watu haki zao tuh hata kama ikionekana alistahili ili serikali iendekehe kubana hela.
Intaneti ya kujaza pepmis ni bia moja tu acha kujiona masikini kiasi hichoPepmis ni mfumo mpya ambao kuna baadhi ya watumishi bado unawaletea shida. Wangeacha kwanza huu mfumo watu wauelewe kwanza hata zaidi ya mwaka mmoja then baadae utumike. Halafu pia Internet pia ni gharama nyingine.
Sasa hili ni kosa la nani? Serikali irudishwe nyuma na uwezo mbovu wa mtumishi?Hivi mkuu unajua kuna mtu hata ku install app tu kwenye simu hajui na ni mtumishi? Haya mambo yapo asee so anaeona ugumu muelewe tu
Acha uongo na probably wewe sio mtumishi na kama ni mtumishi basi wewe ni kilaza na unalengo ya kuifitinisha seikali na watumishi wenye uelewa duni kama wako.Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.
Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi akijichanganya kujaza pepmis au msimamizi wake akimpa score chini ya 60 inamfanya mtumishi akose haki zake mbalimbali. Mfano huu mwaka kuna watumishi mbalimbali hawajapandishwa sababu ya pepmis kutokujaza au kuscore chini ya 60.
TUCTA, TUGHE wamekuwa wakimya sana kutetea haki za watumishi.Huwezi weka vigezo vya pepmis kuwa hupandi cheo au hupati mshahara kama hujajaz malengo. Serikali ifikirie hili swala kwa jicho lingine maana huu mfumo uko very biased na aioneshi uhalisia uwajibikaji wa mtumishi. Madhara ya pepmis yanaweza kuwa makubwa kuliko serikali kilichotarajia.
Watumishi wanazidi kuonewa kutoka kwenye kikokotoo hadi pepmis. YOTE haya yanasababishwa na watumishi kuwa Wapole kutetea haki zao.
Lengo la pepmis kunyima watu haki zao tuh hata kama ikionekana alistahili ili serikali iendekehe kubana hela.
kuna watu wamepanda madaraja na wana account tu.. .Acha uongo na probably wewe sio mtumishi na kama ni mtumishi basi wewe ni kilaza na unalengo ya kuifitinisha seikali na watumishi wenye uelewa duni kama wako.
Mim nimepanda daraja huku ujazaji wangu wa majukumu k
wenye mfumo ukiwa 30% sasa wewe hizo 60% umezitoa wapi?,
Mitano tena kwa mama samia