Wakiona muhasibu wako wa Campany Yuko Vizuri, wanakuambia tunaomba Japo Hela ya Lunch, Yaani Tra Mungu anawaonaTRA Tanzania kwanini muwapige penati wafanyabiashara waliopata hasara? Tupeni majibu haraka sana.
Brother nilishawai kuulizia hili swaliTRA Tanzania tuone kama watakuja kutolea ufafanuzi