HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!



Nakumbuka zile meditation zake zilikuwa ndefu kweli kweli halafu sikuwa naelewa kitu.
By the way hilo jina Ganesh ni la miungu wa kihindi.

Kuhusu Dikembe, na sikia jamaa ni Doctor by profession.

Hiyo movie sijaiona ila nai-download sasa hivi.

Kwa mara ya kwanza wakati Hasheem amekuja toka US,
niliacha shughuli zangu zote na kwenda pale kwenye uwanja wa chuo kikuu(UDSM) ailikokuwa akifanya mazoezi ili nikamuone.
Nilikuwa naamini na bado naamini kuwa inspired na great people.
Baada ya mazoezi jamaa(Hasheem) alisema "wale wanaopenda kupeana mikono na mimi ili kutakiana heri na tupeane mikono".
I loved that opportunity cause I valued him as any NBA player ambaye akija hapa(bongo) kwenda kumuona watu watatozWa hela na watatoa,
Sasa kwanini mimi nisijivunie kijana mwenzangu(mbongo).

Ila kwa swala la kugombana na kupigana na T.I.D kwa kweli limenisikitika sana.
Pamoja na hayo inabidi tumsamehe kwakuwa yeye pia ni binadamu kama wengine.
Inabidi ajifunze sasa kupitia makosa yake lakini na sisi pia tujifunze kipitia yeye.
 
Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques WaMutombo ni tabibu toka lini? Nijuavyo mimi alijiunga Georgetown kama sikosei kama pre-med student....sidhani kama alienda shule ya uganga....
 
Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques WaMutombo ni tabibu toka lini? Nijuavyo mimi alijiunga Georgetown kama sikosei kama pre-med student....sidhani kama alienda shule ya uganga....

Yaweza kuwa u-doctor niliousikia ni huu

Personal life:

Mutombo and his wife Rose have six children, four adopted.
Multilingual by both upbringing and education, Mutombo is able to speak English, French, Spanish, Portuguese and five African languages.
He was awarded an honorary Doctor of Humane Letters by the State University of New York College at Cortland for his humanitarian work in Africa.
Mutombo's nephew Harouna Mutombo plays college basketball for the Western Carolina Catamounts. Harouna was the team's leading scorer for the 2009 season and was named Southern Conference Freshman of the Year.

source:Dikembe Mutombo - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Nakumbuka zile meditation zake zilikuwa ndefu kweli kweli halafu sikuwa naelewa kitu.
By the way hilo jina Ganesh ni la miungu wa kihindi.

Kuhusu Dikembe, na sikia jamaa ni Doctor by profession.

Udokta huo wa Humane Letters sio udokta by profession
 
Jamani hiyo mil 10 ni kweli?? maana nimejaribu kuipeleka kwenye tsh napata kiwewe
 
Hasheem naye eti kasahau kuongea kiswahili, ana accent ya kimarekani, hovyoooo.
 
hapo hata mm ananiboa yu know kibaooo.Juzi nilimsikiliza akihojiwa clouds aliniboa maana yu know bt poa ndo maisha bora angepiga ngeli moja kwa moja.
 

You can take a kid out of the ghetto, but you can't take the ghetto out of the kid.

Si kweli.

Asilimia 90, kama sio 99, ya wachezaji weusi wa NBA wanatoka ghetto lakini ni wachache sana wanaishia kuwa kina Ron Attest, Hasheem Thabeet na J R Smith. Kila msimu utasikia visa labda viwili vitatu wakati kuna mamia ya wachezaji wa NBA kutoka ghetto.

Na sisi kati yetu humu weeengi saana tunatoka kwenye ma ghetto ya Manzese, Tandika, Vingunguti Kwa Mnyamani. Lakini wengi wetu hatutembei barabarani na u-ghetto ghetto vichwani, tunauacha huko huko uswazi! Ukishaelimika (na siongelei shule) utaacha u-ghetto ghetto huko ulikotoka huko.

Hasheem kama anatembea na u-ghetto wa Sinza (kama Sinza nako ghetto) basi ni yeye mwenyewe m-ghetto ghetto, tusijenge nadharia kuchukua vimisemo vya kigeni na kuvitapanyisha jumla jumla.

Lingine: Kusema tatizo la Hasheem ni wapambe wabaya ni sawa na kusema tatizo la Jakaya Kikwete ni January Makamba au Philemon Luhango, suti za Ikulu.
 
Hasheem bado kijana mdogo sema mwili ndo mkubwa. sasa akijichanganya na wenzake inakuwa tena taabu. akibakia marekani mtasema kalowea huko. ana hasira kama mtu mwingine. sijasikia akikwaruzana na raia wa kawaida, sema hao mastaa wenzake ndo wana wivu nae nadhani. wacha wale kichapo kidogo. ila wapambe wa hasheem wahakikishe kuwa jamaa hajichanganyi hovyo hovyo na kupitiliza kwani huko ndiko kwenye hayo matatizo
 

Mkuu, huyu uliyemtaja si 50 Cent. 50 Cent hana ubavu hata wa kufunga viatu vyake. Curtis Mayfield alituletea Super Fly na alifariki mwaka 1999. 50 Cent ni Curtis James Jackson III!

Amandla............
 
 
wote ndio wanakuwa, waacheni utoto ukiisha nao wataacha ila bad enough watakuwa wamechelewa kwani maisha hayasubiri utoto uishe
 
kwa tabia hii hakuna haja ya gari yake kupewa namba maalumu 'TSS...' bora iwe T...AEK kama za sisi walalahoi tu. alitakiwa awe anamake difference.

Kwani hiyo ni namba maalum nilikuwa sijui kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…