Hasheem thabeet anatatizo gani kukaa bench (houston rokects)- nba



HT sasa ana miaka 25. Angalia Blake Griffin ana miaka 23; Kevin Durant ana miaka 24; Serge Ibaka ana miaka 23; Derrick Rose ana miaka 24; James Harden ana miaka 23; Brandon Jennings ana miaka 23; O.J Mayo ana miaka 25 (tena huyu alikua nae Grizzlies).
Hawa ni baadhi ya wachezaji vijana wanaotamba vibaya mno NBA.

Sasa kusema HT bado ni mdogo sana na muda mwingi, mnakua mnakosea. Lebron tayari ana miaka 28, na hao vijana hapo juu wanatishia utambaji wake; sasa kwa mtizamo huu, HT akiendelea kuwa katika kiwango alicho sasa, hakika hana muda mwingi ataondoka NBA.
 

Kweli Luol Deng ana asili ya Sudan, lakini sasa ni raia wa Uingereza. Hivyo ni muingereza; hata NBA anatambulika kama muingereza.
 
I really see this guy anaimba fleva pale Clouds radio na broken English yake.
 
haumtakii mema.....hata yeye akihojiwa anasema anataka siku moja awe kama KB24.......hiyo ya ku aim low anayo raisi wako kikwete tu......labda uniambie kafata kwake.......

alipohojiwa na bongo celebrity
BC: When you hear success stories of African born athletes like Dikembe Mutombo,Hakeem Olajuwan, Ashton Youboty, Luol Deng and many more others making it to the highest level of competition in North America from very humble beginning, what does that mean to you?

HT: It actually means a lot to me. These guys have opened a way for us. All we have to do is follow their footsteps. I am actually a good friend to most of them. For example I work out a lot with Emeka Okafor. He mentors and gives me a lot of good advices something which I believe is important for any aspiring professional athlete like myself. As you must have heard, he just signed a $72 Million contract with BobCats. So its just a great example to me.

Sasa wewe unasem anini hapa???? dogo aache uvivu na kulewa sifa za watu kama wewe ambao kila akina anawapa ofa ya viingilio bilicanas.......
 

kwahiyo ye kafikia kikomo bila kuanza?! hebu mcheki m-taiwan Lin,angalia akina Hayden.................hili toto linajua kuhonga machangu wa Bills tu...mbav!aibu sana kupata nafasi kama ile then you throw it away..potential ipo/iloikuwepo ar else asingechaguliwa as a second overall pick.shame!
 

mkuu,sitaraji HT afanane kiwango na KD au Tyson Chandler wa nafasi kama yake.anachosikitisha wengi ni wkamba dogo anashindwa kufikia hata robo ya ile potential aliyonayo kaka,halafu ni kwa uzembe as akijituma kidogo tu,hawezi kuwa kama niliowataja but angalau atakuwepo kwenye league kwa muda mrefu.............anasahau wanaomsifia na kumapamba leo(kwasababu ya njaa zao tu) ndo watakaomcheka kesho,wakati anauza kibanda cha oysterbay na kagari kake(amuulize Mr. Nice).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…