Hasheem Thabeet has been traded to Portland TrialBlazers

Hasheem Thabeet has been traded to Portland TrialBlazers

mogadishu

New Member
Joined
May 3, 2011
Posts
4
Reaction score
2
our broda has been traded once again.This time is from Houston Rockets to Portland TrialBlazers.The deal was confirmed on the NBA trade deadline.
he is still having some tough time in NBA as the minutes he rarely plays keeps on going down...maombi kwa well wishers yanahitajika.
 
kuja bongo ovyo ovyo kutanua night clubs na kuchukua madem wa watu awe bize na training+nidhamu atafanikiwa wala haitaji maombi ya mtu yoyote!
 
Kama tayari amejadiliwa hapa sawa lakini kila siku habari zinabadilika. Taifa limepata bahati ya kuwa na mchezaji kwenye ligi ya juu kabisa duniani katika mchezo wa kikapu.(NBA). Ndoto za kila kijana wa kiume ambaye ni mpenzi wa mchezo huo nchini marekani ni kushiriki hiyo ligi na sio wote wanapata hiyo nafasi.
Ndugu yetu kaipata ila cha kushangaza ni hatuoni juhudi zake kabisa katika huo mchezo kama walivyo wengine. Kuna wengine kama kina Mutombo ambao wametoka kwenye mazingira magumu zaidi ukilinganisha na hasheem ( mutombo kapitia vita na hali mbaya zaidi kimaisha) lakini alivyopewa hiyo nafasi akakomaa nayo na mengine yote yamekuwa historia.
Hasheem kapata nafasi kubwa sana ila sijui na sio peke yangu bali wengi sana pia hatujui ni nini hasa kinafanyika kibaya kwa kijana wetu kuto shine kwenye mchezo huo na kupata mafanikio makubwa.
Sio kama ni maneno mengi bali tuu kuwa na ile concern kama binadamu ni kipi hasa tatizo? kijana hazingatii kazi au tayari ndo katoka kimaisha hana shida?
2009-2010 mwaka wake wa kwanza NBA hakufanya fresh
2010-2011 Houston Rockets kachemka
2011-2012 Portland Blaizers
Je huko nako akichemka inakuwaje?
Watu wamekuwa wakihoji kila siku uko home na mapicha kibao facebook na twitter vipi?
anamind anasemwa ovyo, je unadhani kijana atapata tena nafasi nyingine kama akiharibu hapa alipo now au naye kasha funguka na kujua kuwa ndo last chance hapa na kufanya maajabu?
 
Back
Top Bottom