Hasheem Thabeet, Houston Rockets: 50 Most Worthless Players in the NBA

maju

Senior Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
118
Reaction score
28
hb.jpg50 Most Worthless Players in the NBA | Bleacher Report
 
Attachments

  • hb.png
    hb.png
    187.5 KB · Views: 151
Ndio maana wachawi hawaishi Africa, kazi kufuatilia mapungufu ya watu tuu ili muwacheke wakati baba zenu wanakula vumbi huko vijijini kwenu p...v kbs
 
Kwa kiswahili maana nini si unajua mimi nimeishia darasa la nne la mkoloni
 
Ndio maana wachawi hawaishi Africa, kazi kufuatilia mapungufu ya watu tuu ili muwacheke wakati baba zenu wanakula vumbi huko vijijini kwenu p...v kbs

Hakuna cha uchawi wala wanga hapa. Kama mtu ni mbovua acha asemwe. By the way, usimlaumu mleta mada bali umlaumu mdhungu kwa kutuletea teknolojia. Sasa ivi mtu yuko huko mbele anacheza game nne kwa season, sisi huku bongo tunamsoma tu.
 
Ndio maana wachawi hawaishi Africa, kazi kufuatilia mapungufu ya watu tuu ili muwacheke wakati baba zenu wanakula vumbi huko vijijini kwenu p...v kbs

Manina zako!
Ushasikia mtu yoyote anamdiss Mbwana Samatta au AY?
 
Hiyo habari ni ya kitambo na ni ya tangu january 2012 wakati anachezea timu ya houston. Kwa sasa yupo timu ya oklahoma.
Na siku zote tukumbuke kila chombo cha habari kina mlengo wake.
 
Ndio maana wachawi hawaishi Africa, kazi kufuatilia mapungufu ya watu tuu ili muwacheke wakati baba zenu wanakula vumbi huko vijijini kwenu p...v kbs

Lengo si kumdiss bali ni kuweka wazi stats zake mashabiki wake waone.pia ni challenge kwake. mbona wabongo hatupendi challenges? mtu aki criticize kazi yako ndo mchawi loh? Lichawi Li baba lako lizazi uchi wako.

Nao wasanii wabongo kazi kulalamika tu ooh wabongo hatupendani, hatununui kazi zetu, tunarogana. khaaa? Kama kazi yako nzuri watu watanunua tuu. usilazimishe watu wanunue au kusifia kazi mbovu kisa tuu from tanzania.
 
Hiyo habari ni ya kitambo na ni ya tangu january 2012 wakati anachezea timu ya houston. Kwa sasa yupo timu ya oklahoma.
Na siku zote tukumbuke kila chombo cha habari kina mlengo wake.

kumbuka hapo ndo alikuwa at the peak. stats za sasa hv ni aibu zaidi.
 
Back
Top Bottom