Na kubwa zaidi, katengeneza history ambayo si ajabu inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10 asitokee mwingine... acha NBA iitwe NBA bhana! Na bado ana uwezo wa kuishi kwa basketball kwa angalau miaka 3 zaidi ikiwa ataamua kutafuta opportunity popote ilipo... hata kama ni Angola League!Chaaaaa!...atleast kapata visenti vyake na kama mjanja kadivert risks kwa kuinvest multiple projects...
Hilo la kusema haendi popote lisikusumbue cuz' it's a matter of time. Unajua mwaka jana alipata average mzuri kumwezesha kurudi NBA; sasa katika mazingira kama yale; yeyote angejiambia, "YES, hapa hapa wacha nikaze zaidi na huenda nikafanya vizuri zaidi ya hapa!" Na ndio maana ili kukazia, akajiunga na hizo training camps! Lakini unless kama amewekeza vya kutosha lakini itafika wakati lazima atageukia ligi zingine ametaka asitake!Hapo sasa tupo pamoja kama kuna possibility ya kuingia tena azidi kujifua tu mungu anamuona
Na kama ikishindikana kurudi NBA aache kung'ang'ania, manake zile interview zake ndizo nazoziogopa Mkuu! Jamaa inaonesha kama NBA hawamchukui haendi timu nyingine yoyote, hilo tu ndio shida!
So you're either ngedere kwenye hiyo 10% or ng'ombe kwenye the remaining 90% . Hapo huchomoki! Choose what you are.na 10% ni mangedere
Kachukua nafasi ya TID maringo kunata + kujisikiaKwa nini kiba?
sawa tu si alitoka bongo kwenda NBA?ameshindwa kuwatengenezea wabongo wenzake connection akihofu watamzidi, wenzie wanatoka D-League wanaenda NBA yeye ametoka NBA anaenda D-League
kweli hakuna marefu yasiyo na ncha
Game ya ufunguzi inaanza saa ngapi?Imebaki siku moja tu uanze
Unafanania na ID yako...
Chaaaaa!...atleast kapata visenti vyake na kama mjanja kadivert risks kwa kuinvest multiple projects...
Cra'p!Fuatilia history ya NBA Draft then uje tena kunieleza yako ya moyoni. Wataalam wote wanamponda ila wewe tu mtaalam uchwara ndiyo unamuona anafaa na ndiyo maana mwenzio hana timu yupo yupo tu hajielewi.
Cra'p!
Sawa ila nakuomba tu, mpigie simu mchezaji wako na muulize anachezea timu gani kwa sasa na kwa nini timu hazimtaki?
Jamaa alichezea shilingi chooni sasa anapumulia mashine tu,hawezi fika zile level tena hata aende BRUNEI nini JAPAN.He is in Japan right now.
Jamaa alichezea shilingi chooni sasa anapumulia mashine tu,hawezi fika zile level tena hata aende BRUNEI nini JAPAN.
Kabisa alifanya manyago sana kipindi yupo kwenye peak ila sasa lazima alay low.Simu hizi hata akija ni kimya kimya
Nimecheka sana aisee, kwamba akija bongo kimya kimyaSiku hizi hata akija ni kimya kimya