Hasheem Thabeet yu mbioni kuondolewa NBA

Remember Tiger Woods? Once the mind is in the panties it stays there.................And concentration is the first casualty ..............can he recover.............no.........unless he receives the boot............and that will be his wake-up call...........
 
Tatizo wabongo hatuna discipline kabisa na kazi ambayo inakupa mkate wa kila siku, Hapa Dogo anatakiwa kwanza aheshimu sana kazi yake, yeye bado ni kijana na anaweza kubadilika so ajitume usiku na mchana hata awe anafanya mazoezi yake mwenyewe ambayo anaona kuwa ana mapungufu nayo wakati wa mchezo.
Dogo akifanya mchezo watamchakachua tu watu hawataki mchezo.

 
Namtakia kila raheli ili apande asishuke kiwango yale ya akina TID mbona USA watu kibao wanachapana
 

Hii source yako ni ya zamani ndugu, kwa sasa dogo game imemkataa kabisa na kiwango kinazidi kushuka, ana 1.2 points per game, 1.7 rebounds per game na 0.7 blocks per game which ni kidogo sana ukilinganisha na mshahara wa 4,793,280 US dollars anazolipwa msimu huu. Kapata guarantee ya msimu ujao ambao ni wa mwisho kwake kwa kuwa kama grizlies wasingemguarantee angekuwa ktk position ya kuanza kutafuta timu wkt wao hawajapata return waliyoitarajia toka kwake. Kwa maana hiyo upo uwezekano mkubwa wa yeye kuanchwa baada ya msimu ujao au akauzwa katikati au mwishoni mwa msimu huu akajaribu kwingine. Kumbuka alitaka kuuzwa katikati ya msimu uliopita ktk exchange deal ikashindikana. Na kuna mechi msimu huu alizomewa na mashabiki baada ya kumiss obvious dunk akatoka bila point na timu ikafungwa.
News: Grizzlies coach Lionel Hollins said Thabeet did not play Monday against the Suns because of the opponent's smaller lineup, the Memphis Flyer reports.
Spin: It looks like it's safe to assume Thabeet will re-join the rotation when the Grizzlies take on the Mavs on Wednesday. Unfortunately, Thabeet has not performed well when active thus far (a total of nine points and 15 rebounds through seven games).
 
Leo wanakipiga na Magic, Superman & co..dogo anarukaruka tu..
 
we jamaa umenichekesha,dogo asipende sana kurudi bongo

Ok, tunajua Grizz sio wazuri kihivyo..lakini hebu angalia stats zake hapa.

Anakimbiakimbia tu na kama kwene article moja hapo juu inavyosema, he is more of a 'fouling machine', na mbaya zaidi team-mates nao wanamuona mzigo na hawampi pasi akiwa kwene D.

Dogo inabidi acheki options zake mapema.. asisubiri kutupiwa virago.
 
Reading the online articles it seems like his only saving grace ni kwamba watu wa Griz wana hope against hope kwamba Hasheem ata turn around. Tatizo la kuanza michezo ya wenzetu ukubwani.

Halafu kuna sehemu jamaa wamebonda mpaka habari zake za off court kupigana pigana na kina TID, kama nilivyokwishasema hapa in the past. Inaharibu, inaonekana si kwamba tu mtu huna uwezo, bali pia huna hata dedication na discipline.
 
halafu hizo contracts zina a clause kwamba zinaweza kuwa terminated anytime kwahiyo hazitoi security hata kidogo
 
...Wakati wa ,apunziko ya Ligi ya NBA yeye alikuwa hapa Bongo anavinjari na Vogue lake wakati wenzake walikuwa wanajifua ili kurekebisha kasoro zilizo kwenye game lao. Nilihisi kwamba haya yangeweza kutokea.
 
Hasheem anakawaida ya kujisahau sana especially akiwa kwenye offense. Tatizo jingine lipo kwenye Memphis. Memphis siyo timu ya kwenda kuchezea. Yeye mwenyewe alikataa mwanzo kudraftiwa na Memphis, alijuwa anakwenda Oklahoma.

Hawa Memphis wana kawaida ya kumaliza vipaji vya wachezaji. Angalia wakati Paul Gasol, alipokuwa na Memphis na sasa hivi alipo Lakers, utaona tofauti kubwa sana. Wachezaji wengi wanaotoka college kwenda kwenye NBA draft, hawataki kwenda kuchezea Memphis.
Memphis washaanza kulijua hili tatizo. Zipo some articles ambazo zinazungumzia kwa undani hizi issue za college players na Memphis.
 

Hizo habari za kumbonda TID wameziandika wapi ? Ina maana jamaa wamejua hilo?
 
Au ndugu yangu Hasheem na Ka Unyamwezi kanachangia?

Hasheemm Kaza buti kijana na ukiweza basi tuletee kamradi kokote Tabora utowe ajira.

Kunaweza hata kiwanda cha Asali ambacho kwa sasa hakuna......

All in all, tunakuombea umalize kikwazo chako na uonyeshe kazi.

Sikiliza ushauri wa watu humu. Si kuwa wanakuchukia ila wengi wanakutakia mema.

Si wote walipata bahati kwenda kubeba Box na kupata Box zuri kama lako.
 
Nilikuwa naangalia game ya Memphis na Portland, na nimegundua kwamba tatizo halipo kwa Hasheem peke yake. Kacheza dakika chache, na alikuwa anarebound vizuri kwa muda wote.

Tatizo nilioliona mimi ni bench, benchi ndiyo inayommaliza. Kacheza kwa muda mfupi sana ukilinganisha na vile alivyokuwa anarebound vizuri. Halafu huyu Kocha ni African American, inaonekana HANA respect sana na wachezaji kutoka Africa. Kama ingekuwa kocha mzungu angekuwa anamtendea haki, kama vile alivyokuwa U-Conn.

Namshauri Hasheem ahame hii Memphis, aende Oklahoma, NO, NJN. Sehemu ambazo hamna wachezaji wenye Ego, kama wachezaji wa Memphis, Randolf, Gasol, Rudy Gay.
Good Luck, HT.
 

Kaka afadhali leo walau amedaka defensive rebounds 3.

MEM kweli kuna wachezaji wenye ego sana, akina Gay, Gasol, Mayo..hii group haiwezi kumsaidia Shim ku-develop, kwa sababu hawa watu ni kama wanajitangaza kupitia MEM. Angekuwa na turnovers ningekuwa na wasiwasi kwamba hana konfo, ni vyema aende timu ambayo itamthamini ndani ya court.
 
hata kama akitolewa..he had his five minutes of fame...
wa tz tumpende mtu,kwa yote...i mean hata km akifulia:smile-big:
mnataka akae NBA for life sasa??? amekuwa mungu??
hasheem kaza buti,ukitolewa kuna wengine we will still love you,regardless...:smile:
 

Hizo habari za kumbonda TID wameziandika wapi ? Ina maana jamaa wamejua hilo?
Memphis Grizzly Hasheem Thabeet: Is It Already Too Late? | Bleacher Report
 
kweli wabongo hatupendani :nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…