Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

Wewe umesoma na Hashim Zabeet?
 
Wapi babu chacha na afande miraji
 
Mweee mweeeee !
 
Jamani tuweni serious kidogo.
Hivi kweli Hashimu wa NBA ni mtu wa wakurudi na kucheza RBA?
Hii ni shida ya wabongo Hashim ni world class celeb kuna ubaya gan akija kusapot nyumbani nilikua kuna mahali niliona alikua Philippines kule raia walikua wanamkubali mbaya Japan ndio usiseme
 
Kulikua na mchezaji wa kikapu NBA miaka ya 70/80s aliitwa Wilt Chamberlain,,alikua mrefu balaa, futi7 uko,lakini mama ake alikua 5.9ft na Baba ake alikua 5.7ft
Hivi wazazi wa huyo mwamba wapo na height kama ya jamaa hapo ama inakuaje maana sio kwa kimo hicho ..
 
Maisha ni safari aisee.... kapambana Sana huyu mwamba.

Kila laheri kwake.
 
Hivi huyu jamaa alikumbuka kununua government bonds kweli? Maana kwa hela aliokuwa analipwa ni wazi angeweza nunua bonds hata za 5B maisha yangekuwa mazuri hadi hii leo. Na hata hicho kikapu angekuwa anacheza for fun tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…