myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aisee...ligi ya kikapu Bongo.Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.
Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo.
Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa, tuna ya kujifunza mengi toka kwa Hasheem
KweliHivi huyu jamaa alikumbuka kununua government bonds kweli? Maana kwa hela aliokuwa analipwa ni wazi angeweza nunua bonds hata za 5B maisha yangekuwa mazuri hadi hii leo. Na hata hicho kikapu angekuwa anacheza for fun tu.
Duh...Dogo alilewa sifa mapema akashindwa kujiendeleza NBA haiwezekani katika league ya chuoni alikuwa pendekezo la kwanza kichaguliwa halafu unafika ligi kuu unachemka kiasi kile.
Hasheem is now a basketball player for the Sichuan Blue Whales of the Chinese Basketball Association (CBA)!Huyu jamaa hana Agent anaeweza kumtafutia club nzuri? Huyu hata ligi ya china anaweza kucheza.
Mi naona tatizo lake ni dogo. Atafute Agent amtafutie timu.
umasikini, roho mbaya na uchawiMkuu mimi nimeuliza sababu ya watu kufurahia anguko la mtu mwingine,sijauliza sababu ya anguko la mtu husababishwa na nini,kwenye maisha kuna ups n downs ni jambo la kawaida,cha ajabu ni mtu kufurahia anguko la mwingine!
Shida Elimu ya bonds and securities (uwekezaji wa aina hii) kwa wengi wetu haipo. Na wanaotakiwa kuwa approach watu wenye kuweza kuwekeza hizo Govt Bond wapo maofisini wanasubiri wateja wawafate by chance!Hivi huyu jamaa alikumbuka kununua government bonds kweli? Maana kwa hela aliokuwa analipwa ni wazi angeweza nunua bonds hata za 5B maisha yangekuwa mazuri hadi hii leo. Na hata hicho kikapu angekuwa anacheza for fun tu.
Kweli
Ila samata kufanya mazoezi na MAMBUMBUMBU ndio maana anayumba tu sasa hivi.Mwamba yupo likizo, timu anayochezea kwa Sasa ni Hsinchu pioneers ya Taiwan .. ni kama samatta anavyorudi kucheza samakiba kipindi cha likizo ..
Mama ndiye anayejuaga baba wa mtoto ni nani.Wana kimo cha kawaida....nadhani hashimu alikuwa na matatizo ya hormone ndio maana kawa mrefu vile.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app