Hasheem Thabeet

Hasheem Thabeet

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Mtanzania anaye kipiga huko ughaibuni@Hasheem Thabeet anazidi kupaa baada ya kuiwezesha timu kupata ushindi maridhawa
safi sana Thabeet
 
Finally,, well... Keep it up Thabeet...
 
OBAMA mwenyewe amekiri anamkubali hasheem chezea wewe
 
Ushindi gani wakati ligi ya NBA ilishaisha na timu ya Miami Heat ndio walikuwa mabingwa
 
kwani ligi inaendelea au pre season
 
Mtanzania anaye kipiga huko ughaibuni@Hasheem Thabeet anazidi kupaa baada ya kuiwezesha timu kupata ushindi maridhawa
safi sana Thabeet

timu gani PAZI??VIJANA??nba wako off season halafu hasheem nilimuona bongo hapa 2/3 weeks ago
 
Back
Top Bottom