Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 380
Naamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anaoHome is where the heart is.
Hv hii post ya muda gan maan ni kitambo sana jamaa hayupo nba yupo kwny developing system huko japan aiceeHasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Mkuu umejuaje kama Hana ardhi Dom ? Hashim dodoma ni mwenyeji hivyo kuna uwezekano ardhi anayo tayari , au mbaka iwe ya kupewaHasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Ya kupewa inanoga sana. Ya kununua wenyewe kila mtu anaweza kununua. Ukipewa unawavutia na wengineMkuu umejuaje kama Hana ardhi Dom ? Hashim dodoma ni mwenyeji hivyo kuna uwezekano ardhi anayo tayari , au mbaka iwe ya kupewa
Yokohama B-corsairs...Hv hii post ya muda gan maan ni kitambo sana jamaa hayupo nba yupo kwny developing system huko japan aicee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tusaidiane kumtafuta maana anapitwa🙂Hv hii post ya muda gan maan ni kitambo sana jamaa hayupo nba yupo kwny developing system huko japan aicee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa hukohuko ule unavyokula ukirudi huku utangoja miaka 40 kutambuliwa mchango wako na kupata zawadi ambayo wakati huo itakuwa haina thamani. Tino angezawadiwa kiasi hicho wakati wake angetajirika. Juzi amepewa sawa na mshahara wa wiki mbili wa mtoaji.Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Niliwahi kumsikiliza alirudi likizo,alikuwa anaongea Kiswahili cha Marekani ,nilishangaa sana,nilimuona ana majivuno,limbukeni,...Kitaalamu tunasema Hajitambui(sijui sasa) Ingekuwa ni maajabu makubwa kama angeendelea kutamba kwenye kile kilichomuinua,kwa kiwango kile cha ushamba!Huyo mtu wenu alishafeli,kachezea shilingi chooni.
Hyu sio wa level ya ardhi, ardhi ni kitu kidgo sana kwake, kwa mpunga alionao anaweza akanunua ardhi ya kutosha kwa pesa yake binafsi.Naamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anao
Unamzungumzia huyu aliyemaliza Jitegemee? Aliyekwenda US ukubwani na sasa akija anaigiza kusahau kiswahili? Hapo kichwani kuna tatizo! Miaka yote hiyo hujawahi kugundua kwamba mtu huyu hajitambui? Linganisha na Dikembe Mutombo wa DRC.Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Kama demotion ni mafanikio basi huyu dogo kafanikiwa..🙂Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Jamaa hawezi nyanyuka tena alishafika kwenye peak ilitakiwa amantain peak ila yeye alidrop.Niliwahi kumsikiliza alirudi likizo,alikuwa anaongea Kiswahili cha Marekani ,nilishangaa sana,nilimuona ana majivuno,limbukeni,...Kitaalamu tunasema Hajitambui(sijui sasa) Ingekuwa ni maajabu makubwa kama angeendelea kutamba kwenye kile kilichomuinua,kwa kiwango kile cha ushamba!
Yeye mwenyewe sasa hivi anahitaji kuiñuliwa kipaji chakeHasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203