Hashim Dogo akutana na Nash Mc

ushawahi kutana naye kino enzi hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kikosi cha mzinga block 41 kulikuwa na maskani inaitwa Indiana polis nahsi hata kama ulimfatilia sugu aliwarusha sana
Indiana polis ilijaa mabaharia wkt huo Pina dogo tu.....
Pina kabla ya Kuingia kwenye mzk alikuwa mbeba vyuma tu
Hashim nshakutana naye San tu block 41 maana block ni kama kwangu tu wna wengi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila block 41 kumepoa siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imam Abbas jamaa alikuwa anajua sana,Mitaa ya Kati ukiisikiliza hadi leo, unaweza sema ni wimbo uliotoka jana kumbe ni wa muda mrefu sana, jamaa aliandika sana pale
 

Aisee kuna mwana wa kuitwa Meneja Zonte hivi yupo aisee.

Mmenikumbusha wana wa Block aisee hebu niambie Beckham, Msemakweli, Kamanda Gwalu, Suma Lago wapo hawa jamaa...?
 
Aisee kuna mwana wa kuitwa Meneja Zonte hivi yupo aisee.

Mmenikumbusha wana wa Block aisee hebu niambie Beckham, Msemakweli, Kamanda Gwalu, Suma Lago wapo hawa jamaa...?
Amani aka Beckham [emoji23][emoji23][emoji23]
Suma Lago kitambo sijamuonaa
Beckham Nkiwa dar nagongana naye
Hao wengn sijawatiaa machoni muda
Ila mwanangu kabsa block alikuwa chis na chis ndy alikuwa na connection sana washkaj
Ila kama unavyo jua Maisha yamebadilika
Utu uzima tena

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…