Hashim Dogo akutana na Nash Mc


Yap yap Chisonde nafkiri yuko mbele na harakati mingine mkuu...!
 
Hashim & Nash,wana Hip Hop wakubwa kabisa kutokea bongo,mwendawazimu na chizi wamekutana, sadly hashim hafanyi mziki siku hizi amekuwa sheikh swala tanoView attachment 1326732

Sent using Jamii Forums mobile app
"wanasema mie mweusi kama mkaa kudadadeki natokea block 41 sio kijenge kudadadeki mistari si ya Kis**nge Kudadadake mwendawazimu sio FOGO" - Hashim Dogo Kikosi Mixtape
 
Si ndy pale solo alitekwa mitaa ya langata kino
Na kikosi ila badaye wakaja kuwekana sawa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
"Nilianza kuimba Hardcore Wadosi wakachomoa,banaa hiyo haipendwi tena inaboaa,Masikini wa bahati tajiri wa mikosi,mfungwa nje ya gereza ndio hukumu ya yangu kesi,nishatekwa na kikosi ila leo ni marafiki na sitolipa kisasi"

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…