Hashim Rungwe: CCM ni Majizi

Hashim Rungwe: CCM ni Majizi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Haipo tena haja ya kumung'unya maneno:

Ukweli ni mchungu lakini inabidi usemwe.

Wizi wao ni wapi usikoonekana?

Ni NHIF, LATRA, TRA, Polisi, Immigration?

Wapi penye unafuu?
 
Chama Cha Majambazi (CCM)
FoVixEVWAAAou0r.jpeg
 
Mh kwahiyo hata wazee wa legacy na wazalendo nao walikua majizi?
Na wao wamo ila yule Mwamba alionyesha nia ya kutaka kuwashughulikia baadhi ya wenzake ndio Maana akapata sapoti kubwa kutoka kwa wananchi wa hali ya chini ambao ndio wengi sana hapa Nchini !!
 
Na wao wamo ila yule Mwamba alionyesha nia ya kutaka kuwashughulikia baadhi ya wenzake ndio Maana akapata sapoti kubwa kutoka kwa wananchi wa hali ya chini ambao ndio wengi sana hapa Nchini !!
Tatizo lilikuja.. wew unaetaka kuwashughulikia wenzako wakat na wao wanajua uliyopiga serikalini!! Hakuna msafi ndan ya CCM mzee!!
 
Na wao wamo ila yule Mwamba alionyesha nia ya kutaka kuwashughulikia baadhi ya wenzake ndio Maana akapata sapoti kubwa kutoka kwa wananchi wa hali ya chini ambao ndio wengi sana hapa Nchini !!

Huyo mzee tatizo lake ni kuwa alitaka kuwadhibiti wengine ila yeye na genge lake la karibu kukwiba ruksa.

Kumbuka ndiye mwenye account China na makando kando kadhaa ya kufikia 1.5trn/-.
 
Haipo tena haja ya kumung'unya maneno:

View attachment 2533661

Ukweli ni mchungu lakini inabidi usemwe.

Wizi wao ni wapi usikoonekana?

Ni NHIF, LATRA, TRA, Polisi, Immigration?

Wapi penye unafuu?
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Huyo mzee tatizo lake ni kuwa alitaka kuwadhibiti wengine ila yeye na genge lake la karibu kukwiba ruksa.

Kumbuka ndiye mwenye account China na makando kando kadhaa ya kufikia 1.5trn/-.
Hivi hii habari ya account ya China ni kweli ?? Na kama ni kweli ni kwanini Serikali ya China isiombwe izirudishe pesa hizo Nchini !! ?? , Au ndio mwendelezo tu wa kuchafua legacy ya Mwamba ??!
 
Back
Top Bottom