Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Uzae wewe afu serikali ikulishie mwanao?Ana point huyu
Kwa nini JKT wanalishwa na serikali??Uzae wewe afu serikali ikulishie mwanao?
Anauliza jeshi la kujenga taifa Lina faida gani??Uzae wewe afu serikali ikulishie mwanao?
haaaa!Uzae wewe afu serikali ikulishie mwanao?
Wewe unataka kila mtu aone unavyoona wewe, hauoni kama wewe ndie una matatizo?Fala kweli eti anamsifia Kikwete peke yake, ana Uzuzu haoni kazi nzuri ya Rais SSH awamu hii kila pahala panajengwa
Ni Watu wazima hao ambao wapo kambini kwa shughuli maalum, ingekuwa sio kulishwa ilibidi wapewe ujira wakajinunulie chakulaKwa nini JKT wanalishwa na serikali??
Serikali zote zenye akili duniani zinawapa chakula bora kabisa wanafunzi mashuleni kupitia kodi ya raia.Uzae wewe afu serikali ikulishie mwanao?