Hashim Rungwe: Serikali ya CCM hatari sana, ahoji wingi wa tozo kwenye simu na mafuta

Hashim Rungwe: Serikali ya CCM hatari sana, ahoji wingi wa tozo kwenye simu na mafuta

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote hizo akiwa kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Stra TV.

Kuhusu waziri wa fedha, amesema wao(wananchi) waende Burundi kufanya nini na hawawezi kwenda! Amemtaka Waziri yeye aende Burundi anakotaka kama anaona wana maisha mazuri zaidi au mabaya. Rungwe amesisitiza wao watakaa Tanzania na wataendelea kumwambia wananchi wanakataa na hawataki.

 
Back
Top Bottom