Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Jan 31, 2025 #1 Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo. Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo. Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote Your browser is not able to display this video.
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Jan 31, 2025 #2 Aache uboya aunganishe nguvu na chadema
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Jan 31, 2025 #3 Joselela said: Aache uboya aunganishe nguvu na chadema Click to expand... Zaidi ya kumiliki lile tumbo Lissu ana hela gani?
Joselela said: Aache uboya aunganishe nguvu na chadema Click to expand... Zaidi ya kumiliki lile tumbo Lissu ana hela gani?
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Jan 31, 2025 #4 Lusungo said: Zaidi ya kumiliki lile tumbo Lissu ana hela gani? Click to expand... Umeambiwa kile ni chama cha lissu? Ile ni taasisi bro. Taasisi ina mbinu na njia mbalimbali za kujiendesha.
Lusungo said: Zaidi ya kumiliki lile tumbo Lissu ana hela gani? Click to expand... Umeambiwa kile ni chama cha lissu? Ile ni taasisi bro. Taasisi ina mbinu na njia mbalimbali za kujiendesha.
Z Zakayomfupi JF-Expert Member Joined Mar 11, 2024 Posts 281 Reaction score 320 Jan 31, 2025 #5 Joselela said: Umeambiwa kile ni chama cha lissu? Ile ni taasisi bro. Taasisi ina mbinu na njia mbalimbali za kujiendesha. Click to expand... Lile ni tawi la Club House na space ya Maria.
Joselela said: Umeambiwa kile ni chama cha lissu? Ile ni taasisi bro. Taasisi ina mbinu na njia mbalimbali za kujiendesha. Click to expand... Lile ni tawi la Club House na space ya Maria.
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Jan 31, 2025 #6 Zakayomfupi said: Lile ni tawi la Club House na space ya Maria. Click to expand... So usaidiwe nini?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 31, 2025 #7 Hiki kipindi kizuri Sana
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Jan 31, 2025 #8 Tulieni tutakuwaa live mitandao yt
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Jan 31, 2025 #9 Lusungo said: Zaidi ya kumiliki lile tumbo Lissu ana hela gani? Click to expand... Nyerere na wenzake wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika walikuwa na pesa gani?
Lusungo said: Zaidi ya kumiliki lile tumbo Lissu ana hela gani? Click to expand... Nyerere na wenzake wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika walikuwa na pesa gani?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 31, 2025 #10 Duh pole yake