Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Jan 31, 2025 #1 Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia Your browser is not able to display this video.
Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia Your browser is not able to display this video.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Jan 31, 2025 #2 Hashim Rungwe Spunda mama yake alimzaa majarubani akiwa anapalilia mpunga ndiyo maana humwambii kitu kuhusu wali.
Hashim Rungwe Spunda mama yake alimzaa majarubani akiwa anapalilia mpunga ndiyo maana humwambii kitu kuhusu wali.
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Jan 31, 2025 #3 secretarybird said: Hashim Rungwe Spunda mama yake alimzaa majarubani akiwa anapalilia mpunga ndiyo maana humwambii kitu kuhusu wali. Click to expand... Nimecheka hapa kilabuni mpaka nimemwaga kangara yangu🤣🤣🤣
secretarybird said: Hashim Rungwe Spunda mama yake alimzaa majarubani akiwa anapalilia mpunga ndiyo maana humwambii kitu kuhusu wali. Click to expand... Nimecheka hapa kilabuni mpaka nimemwaga kangara yangu🤣🤣🤣
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Jan 31, 2025 #4 njumu za kosovo said: Nimecheka hapa kilabuni mpaka nimemwaga kangara yangu🤣🤣🤣 Click to expand... Yaani Hashimu Rungwe na uzee wake anaweza kumnunia mkewe kisa hajapika wali, duh ila huyu Mzee!...
njumu za kosovo said: Nimecheka hapa kilabuni mpaka nimemwaga kangara yangu🤣🤣🤣 Click to expand... Yaani Hashimu Rungwe na uzee wake anaweza kumnunia mkewe kisa hajapika wali, duh ila huyu Mzee!...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jan 31, 2025 #5 Waufukweni said: Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia View attachment 3220112 Click to expand... Huyu ndiye Rais wa wanyonge sasa. Yaani ni mwendo tu wa kula ubwabwa na nyama akiingia madarakani! Siyo mashuleni, siyo makazini! Siyo majumbani! Ni ubwabwa tu kwa kwenda mbele.
Waufukweni said: Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia View attachment 3220112 Click to expand... Huyu ndiye Rais wa wanyonge sasa. Yaani ni mwendo tu wa kula ubwabwa na nyama akiingia madarakani! Siyo mashuleni, siyo makazini! Siyo majumbani! Ni ubwabwa tu kwa kwenda mbele.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Feb 1, 2025 #6 Tulipokuwa shule siku za wali tulikuwa active mbaya.Ana hoj azingatiwe
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 76,039 Reaction score 230,142 Feb 1, 2025 #7 Waufukweni said: Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia View attachment 3220112 Click to expand... Mitano Kwa Rungwe Tumpe urais angalau tule ubwabwa jamani
Waufukweni said: Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia View attachment 3220112 Click to expand... Mitano Kwa Rungwe Tumpe urais angalau tule ubwabwa jamani
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 4,870 Reaction score 8,035 Feb 1, 2025 #8 Walimu nao mbona munawasahau, nao Wana haki ya kula ubwabwa