Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Huyu anatajwa kuwa ni second in Command na tayari shura ya maulamaa imeshakaa na kumpitisha anatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
20240928_180408.jpg
 
Wakati mwingine waone aibu kuanzia Rais wa Iran,mkuu wa hamasi tena aliuwawa ndani ya kambi ya kijeshi ya Urani makao makuu na sasa huyu wa Hezbolah

USSR
 
Unatakiwa utambue Kuna baadhi ya jamii hapa duniani kufa sio tatizo kama unavyofikiria wewe
Kwani wapi nimesema hakuna jamii inayoona kufa si tatizo?

Na wapi nimesema kufa ni tatizo?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe guluguja?
 
Back
Top Bottom