Hashim Thabeet

Pilato2006

Senior Member
Joined
Aug 25, 2008
Posts
124
Reaction score
37
Jana nilikuwa nasikiliza mahojiano kwenye Cloud FM mida kama ya saa 8 hivi ya yule kijana mcheza Baske ball USA, Hashim Thabeet. Kwa niliishiwa nguvu sana pale mtangazaji namuulia vizuri sana ktena kwa kiswahili, lakini yeye kila mara anaanza yuo know... kila mara anachanganya mara kiingereza mara kiswahili. yaani wabongo bwana baala. sema nilikuw a nasinnzia kwenye daladala kwa sababu ya joto a foleni kubwa, kwa hiyo sikufuatila
 
kwahiyo tatizo hapo ni nini sasa? kuchanganya lugha? au kusinzia kwako? au Hasheem?
 
Kiswahili na Kiingereza zote lugha za taifa!
Juzi serikali imetangaza kutumia kiswahili katika shughuri zote za serikali na hata sheria zitatafsiriwa ktk kiswahili, toba!
 
Hujaweka wazi tatizo nini hasa kwa bwana Hashim kuchanganya lugha. Je hukumwelewa au nini, kuwa muwazi basi
 

Pilato... he has rights to speak any language as long as he is understood, kumbuka kiswanglish ni lugha ya clouds kama wewe ni msikilizaji wa clouds. he spends more time in US and there is no harm to practice more and more whenever he gets a chance, na ni bora ajaribie english interview huku ili akiwa huko states aweze kuwa more confident

Hapo kwenye umeandika ukiwa unakimbizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…