Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba SC kwa kusema "Simba jishikilieni tunakuja na balaa tupu" timu hizo zitakutana Septemba 26, 2024.
“Sisi sasa hivi hatujifichi kwenye migongo ya mtu hivyo niwahakikishie kuwa hizo goli nne zinaendelea hivyo mjipange sisi Azam ndiyo tumeanza,” amesema Ibwe.
“Sisi sasa hivi hatujifichi kwenye migongo ya mtu hivyo niwahakikishie kuwa hizo goli nne zinaendelea hivyo mjipange sisi Azam ndiyo tumeanza,” amesema Ibwe.