Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kama Manara tuAnahangaika sana na Simba kuliko timu yake iliyomwajili.
Wapigwe kama ngoma hao Mikia FC.Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba SC kwa kusema "Simba jishikilieni tunakuja na balaa tupu" timu hizo zitakutana Septemba 26, 2024.
“Sisi sasa hivi hatujifichi kwenye migongo ya mtu hivyo niwahakikishie kuwa hizo goli nne zinaendelea hivyo mjipange sisi Azam ndiyo tumeanza,” amesema Ibwe.
Na vindevu vyake kama paka kaonja maziwaAfisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba SC kwa kusema "Simba jishikilieni tunakuja na balaa tupu" timu hizo zitakutana Septemba 26, 2024.
“Sisi sasa hivi hatujifichi kwenye migongo ya mtu hivyo niwahakikishie kuwa hizo goli nne zinaendelea hivyo mjipange sisi Azam ndiyo tumeanza,” amesema Ibwe.
Kale kambilikimo kana utoto mwingi sanaAfisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba SC kwa kusema "Simba jishikilieni tunakuja na balaa tupu" timu hizo zitakutana Septemba 26, 2024.
“Sisi sasa hivi hatujifichi kwenye migongo ya mtu hivyo niwahakikishie kuwa hizo goli nne zinaendelea hivyo mjipange sisi Azam ndiyo tumeanza,” amesema Ibwe.
Vijitu vifupi ndiyo vilivyoKijamaa cha hovyo sana. Kinautafutia umaarufu msimbazi.