Hasira hasara

Mke mwema ni nani amjuaye? ..................
..............................................
 
No alipnesha interests za kunipenda, ila mm kuwahisha mambo na hasira zimeniponza
muda mwingine sio kila anae onesha interest anakua anakupenda mwingine anapenda company yako au anapenda tu jinsi unavyompenda usimix mambo

mtu anaekupenda hawezi kuzika hisia zake chapchap hivo angekutext hata akuulize bado umenunaπŸ˜‚
 
Good
 
Sasa unataka ushauri kwa lugha ipi, mie English siijui na umeandika kiingereza, nakijua kiswahili ila nashindwa kuunganisha mambo ya kukushauri kwa sababu ya mchanganyo wa lugha, nashauri katafute jukwaa la kiingereza ambapo utakutana na English medium wenzako.

Ila kwa hayo machache ya kiswahili uliyo yaandika nimegundua hamfanani kwa maana wewe una jini kibolo mshindo na bado hujakua kiakili.
 
muda mwingine sio kila anae onesha interest anakua anakupenda mwingine anapenda company yako au anapenda tu jinsi unavyompenda usimix mambo

mtu anaekupenda hawezi kuzika hisia zake chapchap hivo angekutext hata akuulize bado umenunaπŸ˜‚
Mbona unaforce kama ulikuepo? Nawajua wanawake vizuri mno, mimi ndo niliyumba ila she had feelings.
 
Watoto wa English medium bana
Sometimes kiswanglish hakinogi wala nini, inategemea na muongeaji au mwandikaji anakitumia kwenye maelezo gani. Kama huyu dah🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…