Sasa akichekewachekewa hapo napata wivu na hasira juu...lol!wivu tu bila hasira ndo rahamimi mwanamke asieniuliza kwa nini msichana fulani anakuchekeachekea ntaona hanipendi..mwanamke akiwa na wivu anakuwa more sexy
Unaweza ukampenda mtu na usione wivu (sababu unamuamini na hakupi sababu za kijinga za wewe kuona wivu)..., well wivu na hasira ni vitu viwili tofauti na sio lazima viende pamoja..., tena mwingine ndio akiona wivu anazidi kuwa mpole na kuongeza mapenzi ili asimpoteze mwenza wako....Lakini kwa kweli kama humpendi mtu wivu unatoka wapi? Btw: wivu na hasira lazima viende pamoja?
Sasa akichekewachekewa hapo napata wivu na hasira juu...lol!
Simnuniagi wala nini...na ikitokea nikanuna basi haitachukua muda ntakuwa kawaida tu....lol! Baada ya hapo burdani tu!basi uache kumnunia lolumchekee chekee wewe mwenyewe lol
Kwenye tofauti nimekuelewa kiasi.Hapo kwenye wivu unachosema ni kwamba wivu unasababishwa na kutomuamini eeh?Unaweza ukampenda mtu na usione wivu (sababu unamuamini na hakupi sababu za kijinga za wewe kuona wivu)..., well wivu na hasira ni vitu viwili tofauti na sio lazima viende pamoja..., tena mwingine ndio akiona wivu anazidi kuwa mpole na kuongeza mapenzi ili asimpoteze mwenza wako....Sababu hasira if anything ndio zitamkimbiza zaidi
Point yangu ni kwamba wivu unasabishwa na imani kwamba unaweza kumpoteza akakuacha au akawa anashare penzi lako na mwingine au hakupendi sana.... yaani (you are not or you might not be the only one)... Yaani humuamini yeye au hujiamini mwenyewe kwamba unaweza ukawa mtu tosha na pekee kwa mwenza wakoKwenye tofauti nimekuelewa kiasi.Hapo kwenye wivu unachosema ni kwamba wivu unasababishwa na kutomuamini eeh?
VOR nimekusoma, shukrani!
Positive thinking ndo dawa yake! Ukianza kudhani dhani tu inakupa tabu nafsini na unaweza kuharibu mahusiano yako.
daima na milele the boss....shukrani sana!nakuaminia hapobeauty,honesty and truthfull