Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Kama mimi bwege wewe "Ubwabwa" ndio maana mzee Kenyatta aliwahi kumwambia Nyerere anatawala MAITI na maiti zenyewe ni pamoja na Wewe Maiti hugeuzwa geuzwa bila kukataawe bwege km mabwege mengine. Kahamie kwa hao wajinga kwetu ujinga huo hauwezekani. Hauwezi kukwamisha maendeleo ya nchi kwa maslahi ya watu wachahe, napenda sana mfumo wa utawala wa nchi yetu. Rais ni mkuu wa nchi lazima awe na sauti ya mwisho bila kuyumbishwa na vyombo ambavyo havijaomba ridhaa ya wananchi kuwaongoza. hatutaki rais wetu ayumbishwe na kundi la watu wenye maslahi yao au wamekula rushwa
Kenya Rais ni kama picha tu na wala siyo Amiri Jeshi Mkuu!!Kenya wanajielewa
β πTaasisi ya mahakama kenya ni imara.
β β βKenya wanajielewa
kama nchi ipi???kenya haijapinduliwa (bado) hivyo wana uwezo wa kufanya maamuzi yao wenyewe, siyo kila nchi ina huo uwezo, kenya hata umeme hawazimi kama nchi nyingine β¦
Una hakika? Acha kujidanganya...,. kenya hata umeme hawazimi kama nchi nyingine β¦