Uchaguzi 2020 Hasna Mwilima hafai kupeperusha Bendera ya CCM Kigoma Kusini

Mmekula buku ten ten na kumpa kura sasa akili zimerudi mnakuja kulia JF.
 
Naona Tumbili amekuja kivingine [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani waliompigia kura wanatoma Jimbo tofauti na Kigoma Kusini?
 
Wewe umetumwa na Kafulila sio bure,
 
Alikuwa Mbunge 2015-2020 Hafai kabisa akipata mengine mitano watu watanena kwa lugha kwa kukosa muwakilishi.
Wewe ni muongo, wakati wa Kafulila hapakuwa na barabara, ambulances, madaraja pamoja na bandari sasa hivi vyote vipo kuanzia Uvinza mpaka Kalya, usitusemee wanakigoma Kusini
 
Wewe kafulila hio ndo imetoka umekosa u RAS na ubunge Sasa endelea kumkosoa zitto kwenye mabandiko yake labda utahurumiwa 2015 ulishinda sema maccm yakakuzulumu leo unashindwa hata kuscore kura 50?umejishushia heshima kwa tamaa za kijinga hv ulifikiri ccm wamuache kada wao wakuchague wewe msaliti
 
Hasna kijijini kwao ni kata ya Buhingu kijiji cha Nkonkwa kitongoji cha Katembwe.

Kafanya makubwa zaidi ya watangulizi wake hasa katika kata za ziwani.

Amefanikisha ujenzi wa madaraja kutokea Ilagala mpaka hifadhi ya Mahale, magari ya wangonjwa kwaajili ya kata za ziwani Buhingu, Kalya, Igalula na Sigunga, vilevile amefanikisha uchongaji wa barabara ya vumbi kutokea Simbo mpaka hifadhi ya Mahale na Kalya bila kusahau ujenzi wa bandari katika kata za Kalya na Buhingu.

Umefanikisha kuleta umeme wa kampuni ya JUMEME na Power Corner.

Huyu mama kafanya makubwa zaidi ya hao wengine ndio maana, wajumbe wameamua kumpitisha tena na wananchi bado wanaimani nae kwa haya aliyofanya.
 
Umetumwa Nini?
Wewe ni muongo, wakati wa Kafulila hapakuwa na barabara, ambulances, madaraja pamoja na bandari sasa hivi vyote vipo kuanzia Uvinza mpaka Kalya, usitusemee wanakigoma Kusini
 
Naona mshatumwa,mmeanza kujaa hapa, Kama anaweza mwambie aende Uvinza,Nguruka akafanye mikutano Kama hatohutubia mawe...hapendwii sijui hata anapitaje pitaje huyu mama.
 
Sawa kafulila uliambiwa usiwe na tamaa matokeo yake umeangukia pua, mwache Asina ajimwambafai
Kafulila anatamaa ya madaraka, kateuliwa U-RAS lakini akaona hajatosheka kiasi cha kumdhalilisha Mh.Rais.

Katoa rushwa kwa wajumbe, kupitia rafiki zake Ahmad Muarabu, Omar Msiki, Kisusa na vijana wake wengine. Alidhani hatuoni namna anavyogawa rushwa kwa wajumbe?

Huyu jamaa hafai, Mh.Rais asimteuwe tena kokote wamuache na tamaa zake.
 
Vyama vingine havina wagombea? ... pigeni chini CCM!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Naona mshatumwa,mmeanza kujaa hapa, Kama anaweza mwambie aende Uvinza,Nguruka akafanye mikutano Kama hatohutubia mawe...hapendwii sijui hata anapitaje pitaje huyu mama.
Mwambie Kafulila akafanye mkutano kata za ziwani uone kama atapata hata mbu.

Kwanza wananchi hawamkubali, yule jamaa anadharau sana kwa wananchi hasa wa kata za ziwani.

Tangu apate Ubunge 2010 hakuwa kurudi jimboni mpaka 2015 kipindi cha kampeni.

Unataka wanakigoma Kusini tufanye nini zaidi ya kumkataa?
 
Wewe utakuwa ni Kafulila tu. Huna lolote wana kigoma wamekukataa sasa unaanza majungu yasiyo na maana yeyote. Kama angekuwa hana kauli nzuri , hafiki jimboni na hana msaada na wananchi wake je mbona wamemchagua tena kwa kishindo? Au unataka kutuambia wajumbe waliomchagua sio wakazi wa jimbo hilo? Acha ushamba wewe kama umeahindwa we kubali matokeo tu
 
Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…