Nawe achana shobo. Mtu kaandike vitu serious unakuja kuandika utumbo.Acha wivu na chuki
Kama wanawatumia ndivyosivyo,wakemewe,siyo suala la wivu.Acha wivu na chuki
Uko sawaHivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.
Juzi kuna watu waliwatembelea na kuwapatia bangi na kuwarekodi wakivuta bangi. Wengine wanatoka nchi za nje na kufanya uhuni huu.
Serikali inatakiwa kuchukua hatua kali na kukomesha tabia kama hizi za kuwadhalilisha watanzania. Usasa wa watanzania na watu wengine duniani umewafanya kuamini kuwa watu kama Waadazabe ni watu walipitwa na wakati ambao hawahitaji kuheshimiwa.
Napendekeza serikali ichukue hatua zifuatazo kuhakikisha kuwalinda Waadizabe na makabila mengine ya asili:
1. Kabila la Sentilese huko India ambalo linafanana na Waadizabe lilitungiwa sheria maalum ya kuwalinda na hakuna anayeruhusiwa kuyatembelea bila kibali maalumu.
Walifanya hivyo kuhakikisha mila zao zinalindwa na watu wa magharibi hawatumii fursa ya kuyaona makabila haya kuweka propaganda zao.
Hizi mambo za mila zilishapitwa na wakati. Hawa wahadzabe watafutiwe mashamba ya ushirika walime tuwe na food security ya kutosha. Waache kuishi maisha ya maigizo.Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.
Juzi kuna watu waliwatembelea na kuwapatia bangi na kuwarekodi wakivuta bangi. Wengine wanatoka nchi za nje na kufanya uhuni huu.
Serikali inatakiwa kuchukua hatua kali na kukomesha tabia kama hizi za kuwadhalilisha watanzania. Usasa wa watanzania na watu wengine duniani umewafanya kuamini kuwa watu kama Waadazabe ni watu walipitwa na wakati ambao hawahitaji kuheshimiwa.
Napendekeza serikali ichukue hatua zifuatazo kuhakikisha kuwalinda Waadizabe na makabila mengine ya asili:
1. Kabila la Sentilese huko India ambalo linafanana na Waadizabe lilitungiwa sheria maalum ya kuwalinda na hakuna anayeruhusiwa kuyatembelea bila kibali maalumu.
Walifanya hivyo kuhakikisha mila zao zinalindwa na watu wa magharibi hawatumii fursa ya kuyaona makabila haya kuweka propaganda zao.
Wewe unahisi kuwa pale wanaigiza?Hizi mambo za mila zilishapitwa na wakati. Hawa wahadzabe watafutiwe mashamba ya ushirika walime tuwe na food security ya kutosha. Waache kuishi maisha ya maigizo.
Nakubaliana na wewe 100%Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.
Juzi kuna watu waliwatembelea na kuwapatia bangi na kuwarekodi wakivuta bangi. Wengine wanatoka nchi za nje na kufanya uhuni huu.
Serikali inatakiwa kuchukua hatua kali na kukomesha tabia kama hizi za kuwadhalilisha watanzania. Usasa wa watanzania na watu wengine duniani umewafanya kuamini kuwa watu kama Waadazabe ni watu walipitwa na wakati ambao hawahitaji kuheshimiwa.
Napendekeza serikali ichukue hatua zifuatazo kuhakikisha kuwalinda Waadizabe na makabila mengine ya asili:
1. Kabila la Sentilese huko India ambalo linafanana na Waadizabe lilitungiwa sheria maalum ya kuwalinda na hakuna anayeruhusiwa kuyatembelea bila kibali maalumu.
Walifanya hivyo kuhakikisha mila zao zinalindwa na watu wa magharibi hawatumii fursa ya kuyaona makabila haya kuweka propaganda zao.
Akitokea mtu akakwambia utoke hapo unapoishi ukaishi huko porini mwenyewe unahisi atakuwa amekutendea haki?Wahadzabe watoke poring waache kuishi kama wako zama za mawe
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.
Juzi kuna watu waliwatembelea na kuwapatia bangi na kuwarekodi wakivuta bangi. Wengine wanatoka nchi za nje na kufanya uhuni huu.
Serikali inatakiwa kuchukua hatua kali na kukomesha tabia kama hizi za kuwadhalilisha watanzania. Usasa wa watanzania na watu wengine duniani umewafanya kuamini kuwa watu kama Waadazabe ni watu walipitwa na wakati ambao hawahitaji kuheshimiwa.
Napendekeza serikali ichukue hatua zifuatazo kuhakikisha kuwalinda Waadizabe na makabila mengine ya asili:
1. Kabila la Sentilese huko India ambalo linafanana na Waadizabe lilitungiwa sheria maalum ya kuwalinda na hakuna anayeruhusiwa kuyatembelea bila kibali maalumu.
Walifanya hivyo kuhakikisha mila zao zinalindwa na watu wa magharibi hawatumii fursa ya kuyaona makabila haya kuweka propaganda zao.
You nailed itAkitokea mtu akakwambia utoke hapo unapoishi ukaishi huko porini mwenyewe unahisi atakuwa amekutendea haki?
Wahadzabe hawajawahi kulalamikia maisha yao wameshazoea na ndo maana unaona wapo fresh tu wanaishi bila shida na wanafuraha.
Kuwafosi kuongia maisha ya kuchangamana na watu wengine kutawaletea shida nyingi zikiwamo za kisaikolojia sababu jamii itawatazama kama washamba na watu wa hovyo na pengine kuwatenga wakati wao walshazoea kuishi wenyewe kwapamoja kwa upendo.
Ni upumbavu kuwa na serikali inakumbushwa majukumu na wajibu wake na watu nje ya serikali..mbona kiongozi akisemwa vibaya haipiti dk 2 wameshatoa tamko..? Anayewalipa kufanya hizo kazi ni ni viongozi au raia walipa kodi..!Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.