Hassan Dilunga "HD" amepona na ameanza mazoezi Simba SC

Hassan Dilunga "HD" amepona na ameanza mazoezi Simba SC

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Hassan Dilunga amerejea tena Simba Sc mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu.

Picha zimemuonesha HD akiwa mazoezini huku akitupia jezi mpya za mazoezi za Simba SC.

Hii itakuwa habari njema kwa Wana Simba na Taifa Stars.

231E2114-7735-4659-8038-B39328E5F536.jpeg
0C9E5B01-32BA-43B9-A998-E87D664CEBD4.jpeg
 
Tumefurahi HD alivyorudi sio kwamba yeye ni world class player bali ni moja ya wachezaji viungo wachache wa kitanzania wenye uwezo mkubwa miongoni mwao pia wakiwepo akina Feisal, Mudathir, Mkude, Muzamiru na Sure boy.

Kizazi cha sasa cha akina Nassoro Kapama na Zawadi Mauya ni taka taka kabisa.
 
Back
Top Bottom