Hassan Dilunga "HD" amepona na ameanza mazoezi Simba SC

Tumefurahi HD alivyorudi sio kwamba yeye ni world class player bali ni moja ya wachezaji viungo wachache wa kitanzania wenye uwezo mkubwa miongoni mwao pia wakiwepo akina Feisal, Mudathir, Mkude, Muzamiru na Sure boy.

Kizazi cha sasa cha akina Nassoro Kapama na Zawadi Mauya ni taka taka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…