Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kipengele kipi unachoona wewe?Pamoja na kipengele mlichoa nacho leo bado stori kubwa ni Dilunga?
Ali rogwa na nani? Maana nanyi mna imani za kishirikina sana.Kuna tetesi kuwa walimloga mwenye taarifa kamili atujuze
Si mmemficha AvicHivi usikute mashabiki wa simba hawajui hata alipo huyu aliyekuwa mchezaji wao muhimu kwenye kikosi chao! Ila ukiwauliza kuhusu Kambole, wanakijua mpaka chumba anacholala.
Timu inasifika kwa misumari mpaka basi!Kuna tetesi kuwa walimloga mwenye taarifa kamili atujuze
Hivi usikute mashabiki wa simba hawajui hata alipo huyu aliyekuwa mchezaji wao muhimu kwenye kikosi chao! Ila ukiwauliza kuhusu Kambole, wanakijua mpaka chumba anacholala.
Misumari aliyopigwa KamboleTimu inasifika kwa misumari mpaka basi!
Pamoja na kipengele mlichoa nacho leo bado stori kubwa ni Dilunga?
Sasa kama mkataba wake na Simba umekwisha unataka tujue aliko ili iweje? Ama kweli wenye akili timamu ni wawili tu huko gongowaziHivi usikute mashabiki wa simba hawajui hata alipo huyu aliyekuwa mchezaji wao muhimu kwenye kikosi chao! Ila ukiwauliza kuhusu Kambole, wanakijua mpaka chumba anacholala.
Una uhakika aliumia baada ya mkataba wake kuisha? Mchezaji anaitumikia timu kwa moyo! Anaumia akiwa kazini! Mkataba wake unamalizika, mnamtelekeza!!Sasa kama mkataba wake na Simba umekwisha unataka tujue aliko ili iweje? Ama kweli wenye akili timamu ni wawili tu huko gongowazi
Kambole alipigwa misumari na nani! Na wakati alikuja akiwa bado ni majeruhi!! Hayo mambo ya misumari mnayo nyinyi.Misumari aliyopigwa Kambole
Yupo wapi yacuba sogne kama sio misumariKambole alipigwa misumari na nani! Na wakati alikuja akiwa bado ni majeruhi!! Hayo mambo ya misumari mnayo nyinyi.