Kambole alipigwa misumari na nani! Na wakati alikuja akiwa bado ni majeruhi!! Hayo mambo ya misumari mnayo nyinyi.
Nani amekuambia inabidi kuiwaza mechi ya leo tu basi?Pamoja na kipengele mlichonacho leo bado stori kubwa ni Dilunga?
Japokuwa ukiwa Yanga akili zinafubaa,lakini jaribu kuwatendea haki wazazi wako waliokupeleka shule kwa kutumia vizuri hizo akili kiduchu zilizobaki kwa kusema ukweli. Dilunga mkataba umekwisha lakini anaendelea kuhudumiwa na Simba kwa misingi ya ubinadamu na hili limeshatolewa maelezo mara nyingi na uongozi wa Simba. Ukweli huu hata wewe unaujua ila kwa kudumisha uyanga wako ndiyo umekuja na hii hoja yako muflisi.Una uhakika aliumia baada ya mkataba wake kuisha? Mchezaji anaitumikia timu kwa moyo! Anaumia akiwa kazini! Mkataba wake unamalizika, mnamtelekeza!!
Mnashindwa hata kujifunza kwa kaka zenu Yanga!! Walimhudumia Mapinduzi Balama kwa kila kitu mpaka pale alipo pona kabisa, ndipo wakampa mkono wa kwaheri.
Hawa kima hawana kumbukumbu hata kiduchu
Kipengele kipi unachoona wehalf
half time ndo hii kasome ubao..