yaani huyu mwakinyo bado anacheza disko vumbi tu?Usiku wa kuamkia Leo Bondia Hassan Mwakinyo alimgaragaza bondia Joseph Sinkala kutoka Dar kwenye round ya 2 kwa TKO na hivyo Mwakinyo kupata mikanda 2.
Jionee jinsi Bondia Sinkala alivyopigwa TKO
Waache kupambanisha mabondia wandani, wamtafutie bondia anaye eleweka atetee mkandawake kwenye Mashilikisho ya ngumi yenye vigogo ndipo thamani yake iongezeke.Usiku wa kuamkia Leo Bondia Hassan Mwakinyo alimgaragaza bondia Joseph Sinkala kutoka Dar kwenye round ya 2 kwa TKO na hivyo Mwakinyo kupata mikanda 2.
Jionee jinsi Bondia Sinkala alivyopigwa TKO
Halafu awe maarufu kuliko kambale? Humtakii mema weweWaache kupambanisha mabondia wandani, wamtafutie bondia anaye eleweka atetee mkandawake kwenye Mashilikisho ya ngumi yenye vigogo ndipo thamani yake iongezeke.
Huyu samaki ndio anaitwa nguva auHalafu awe maarufu kuliko kambale? Humtakii mema wewe View attachment 915639