Baada ya Bondia Twaha Kiduku wa mkoani Morogoro kushindwa kwa Msouth pale Mwanza ni kama mashabiki wa Ndondi wameanza kukata kona kiaina kwa bondia huyo kwa kuuliza BONDIA HASSAN MWAKINYO atapanda lini ULINGONI tena kuokoa JAHAZI la Masumbwi?
Kuna haja ya kutafuta majibu ya hili swali kwani Mwakinyo yuko kimya sana zaidi ya kupiga vijembe mtandaoni.