Hassan Mwakinyo na kupewa pambano nyanya

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651


Waandaji au promoter wa hassan Mwakinyo wanamdanganya kwa kupewa bondia Nyanya kama huyu Sergio


Hata wale mlioangalia pambano inaonyesha saana kuwa bondia Sergio ni bondia muuza vitumbua yaani hana ustar wa kuwa bondia

Record zinaonyesha tangia 2016 hajawai kushinda hata pambano moja


Hapa Hassan hustaili pongezi umefanya mazoezi na bondia wa mchangani
 
Pambano la ukweli lilikuwa kati ya Zarika na Phiri.

Oooh! Halafu ni wanawake, walifanya vyema sana. Walichochea mpaka nikawa narusha ngumi hewani kwa kufurahia pambano.
 


NYANYAAA AMA VITUNGUUUU??
 
MWANAUME KUWA NAWIVU KWA MWENZIO MTAVALISHWA DIRAAA MPWAA
 
Kwahiyo na ww tukuletee yule kaka yake messi?
 
MWANAUME KUWA NAWIVU KWA MWENZIO MTAVALISHWA DIRAAA MPWAA
Hamna mwenye wivu, ila ukweli usemwe.

Mwakinyo ana mapungufu vilevile akipata mpinzani mzuri mapema sana anaangushwa.

Naandika hivi kwa sababu nacheza hiyo michezo kwa self defence tu na kwa afya.

Muai Thai hoye! Shaulinji Kempo hoye!
 
Hakucheza vizuri, punch nyingi hazikuwa zinaland kwa opponent, angeweza kuwa smart alikuwa anamkalisha mapema sana. Muargentina naye siyo wa kumbeza, alimkata upper cut za kutosha, sema akawahi kuchoka, hata alipokaa hakukuwa na serious punch iliyomkalisha, alichoka tu. Mwakinyo anatakiwa kufanya sana mazoezi, atakutana na chuma siku... All in all bravo Mwakinyo. Mwanadada mzambia alinikosha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…