Hassan Ngoma wa Clouds tv 360 ametupa jiwe gizani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Amesema kwamba kuanzia leo hadi kufa Kwake atakuwa anaitwa au atakuwa anajulikana hasa kwa majina haya mapya ya Hassan Ngoma Mange Kimambi Dotto Bahemu. Nadhani hili ni ' Jiwe ' kubwa alilolirusha ' Gizani ' na nadhani mpaka muda huu tayari litakuwa limeshampata Mtu kama pia siyo kumjeruhi.

Mjumbe hauwawi kamwe!

Nawasilisha.
 
Umbea hatutaki!!chanzo cha habari???
 
Kazi bado anayo kweli?

Inasemekana Ruge Mutahaba kaamua kumrudisha haraka ' Jamaa ' hasa baada ya ' mkwara ' wa Mange Kimambi kwamba kwanini hapendi Watangazaji wake wamjadili / wamzungumzie Tundu Lissu. Inadaiwa kwamba kama leo ' Mtangazaji ' huyu asingesamehewa na kurudishwa ' Kundini ' basi Mwanadada ' Mghaibuni Mpinzani ' Mange Kimambi kuanzia leo alikuwa anaenda kutiririka na kuserereka na ' maovu ' kibao ya aibu ya Ruge Mutahaba ambayo pengine yangeweza hata kumuharibia ' career ' yake.

Pengine kwakuwa ' biti ' la Mange Kimambi ( Mghaibuni Mpinzani ) limeweza kufanikisha Yeye ( Hassan Ngoma ) kurudishwa ' Kundini ' labda ndiyo maana ' Jamaa ' nae kaamua ' Kujibatiza ' upya na kujiita Hassan Ngoma Mange Kimambi Dotto Bahemu.

Sasa Kazi imeanza na ndiyo Kumekucha. Mnaomfolo Mange Kimambi si vibaya mkatuambia baada ya leo Hassan Ngoma kuonekana akiwa katika Kipindi akiwajibika tena vizuri tu Yeye anasemaje au ana maoni gani. Je atawaombeni msahama aliwaowalisha ' matango pori ' yake au labda atakuwa na mapya zaidi?
 
Hilo ni dongo kwa Mange, mshambuliaji hatari aliyeisawazishia Liverpool jana dhidi ya Spurs
 
wakati mwingine kwa mwanaume anayejielielewa huwa Ni busara kukaa kimya!

Sasa angenyamaza angepungukiwa nini?
 
Kama hiyo taarifa nimeitoa muda si mrefu kutokea Clouds tv 360 muda si mrefu unadhani hapo ' Source ' ya hiyo taarifa itakuwa wapi? Pumbavu.
Akirudia tena kucomment kwako utanidai elfu10 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…