Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nao ni uzi? baada ya kukosa mkeka naona umechanganyikia.
Naona Hoja za kumpinga mama Sasha zimekuishia unabaki kufananisha sura za watu,by the way unajua maana ya copy right?
Na yeye Hassan anapiga kiwi nyeusi kichwani mwake?
Kwa sura Majaliwa anafanana sana na Katibu Mkuu Kiongozi bwana Katanga.Kama ni kwa sura bora uniambie Kassim na Jafo
Lescot wa Man City au mwingine?Ushuzi na marashi.
PM sura yake imepinda kama Lescot
Hata kidogo,ni sawa na kufananisha Embe na Chungwa