YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hassanali Mjumbe wa bodi ya wadhamini Chadema mwenye siri za fedha zote za Chadema kuhamia CCM ndiko kulimkimbiza Lowasa kwenda kumwona Magufuli akihisi siri zote za pesa za Chadema zimemwagwa kuanzia pesa chafu za kampeni ya uraisi 2015 na vyanzo vyake vyote na wachangiaji wote. Lowassa akahisi haponi atadakwa na mtandao wake kwani faili limetua penyewe.
Chadema kumuwakia Lowasa ni kuhisi kuwa Lowasa kampelekea Magufuli Flash ya documents na faili la mambo yao yote kwenye flash kama alivyofanya Nassari na kaflash kake alikopeleka Takukuru.
Sasa hivi Chadema wana hasira na Lowassa na Hassanali.Wanajiona wako uchi.Mambo yao yote ya siri yako mikononi mwa Magufuli ndio maana Mbowe,Lema,Lisu na akina mashinji na wapiga deal na wala ruzuku chadema wanatapa tapa.
======================================
Ufipa-Kinondoni, said:
Lowassa amekwenda Ikulu kukutana na Rais ili aweze pata nafuu katika mambo yafuatayo:
i) Kumnasua mkwe wake, Sioi anayeozea jela kwa kosa la uhujumu uchumi. Huyu alikuwa mwanasheria wa benki ya Standard Charter Tanzania wakati wa kupitisha hela za ESCROW. Mpaka sasa kwa miaka kama miwili amekuwa ndani bila mashitaka kwa vile ni Uhujumu Uchumi. Na jambo lililowazi ni kuwa huyu jamaa alikuwa amehamia CHADEMA na kutaka kugombea Ubunge dhidi ya Nasari pale Arumeru.
ii) Kunasua utajiri wake wa kutisha anaomiliki mpaka sasa katika taifa hili. Inajulikana kuwa yeye ni moja ya wanasiasa matajiri na wanaomiliki mashamba mengi hasa yaliyokuwa yanamilikiwa na serikali. Mpaka sasa ni mashamba mengi sana yaliyochukuliwa na serikali na kugawiwa kwa wananchi.
iii) Jambo la tatu ilikuwa kurudisha taarifa yake juu ya kufanikisha kuhujumu CHADEMA na Mbowe kwa sababu ya mgogoro wao wa uongozi. Hii ni siri sana kwa wengi ila ni kuwa mgogoro huu ndo umefanya wafuasi wote wa EL aanze kuwarudisha CCM na yeye akifuata. Umetokana na maono ya jinsi ya kuendesha siasa. EL ni muumini wa siasa na si harakati wakati Mbowe anataka Harakati zaidi. Hivyo mgongano huu ndo ukaleta kutoelewa kabisa kwa maana Mbowe aliona EL anataka kumiliki chama kwa kufuata falsafa zake. Inasemekana mwisho wa mgogoro Lowassa alisema Mbowe atamkomoa kwa kuwaondoa wafuasi wake CHADEMA ndo kinachooneka sasa. The Great Migration.
Katika haya unaweza jua vizuri lkuwa Lowassa anafanya siasa za maslahi zaidi ya kuendeleza siasa za wote.
Hii ni taarifa tu.