Tetesi: Hassanali kuhamia CCM ndio kisa cha Lowassa kwenda Ikulu na CHADEMA kumchukia Lowassa kuwa kapeleka siri zao

Si tu zilitumikaje ,kuna swali la zilitoka kwa nani na alizitoa wapi vyanzo halali ,haramu au wizi au deal au utakatishaji fedha?
Mkuu hivi unajua hela za kampeni za ccm zilikotoka? Ccm hamwezi kumdaka mwizi ilihali ndani kwenu kuna jambazi...
 
Meli nyingine iliyosajiliwa Tanzania imekamatwa Ugiriki huko na milipuko, nyinyi endeleeni tu na siasa nyepesi za kujitia dole wenyewe halafu unanusa.
Haahah!!! Wee matola nimecheka sana, kuna watu wanakera sana hadi unajihoji mwenyewe kama kweli huyu uvccm wanatumia akili kufikiri
 
Afike salama huko CCM.Tutabaki na Chadema hata Mbowe akirudi CCM pia
 
Sasa kama unataka kupangia watu cha kuandika ni kwa nini usingefunguwa huu mjadala na mumeo chumbani na hiki kiwingu cha leo mbona mjadala wenu ungenoga kitandani?
Maana ya mada ni kujikita mada husika tu ukitoka nje unakuwa umechemka wazungu wanaita Off point!!!!!!!!!!!!
 
Huyu Muhindi ndio Signatory Mmoja kati ya wawili wa ruzuku ya Chama, Mjumbe wa Kamati kuu na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema Halafu Makarai yansema sio Mtu Mkubwa Chadema
 
Mwalimu wangu wa hesabu ashawah niambia nisikariri 1+1=2 muda mwngne inaweza ikawa 3 na kuendelea !!!
 
Kama ni wizi na ufujaji wa fedha ktk vyaka, naamini kabisa kuwa ccm wakiwa na ufujaji wa asilimia 100 basio CDM itakuwa na wa asilimi 12.
 
Ila dhambi ya usaliti ni mbaya sana huwa haijawahi kumwacha mtu salama. someni ya Yuda Iskarioti.
 
Tatizo la kufikiri kwa kutumia makalio ndio hilo, Shame on you, Jitu zima bado unafikiri kwa kutumia makalio, Hicho kichwa juu ya mabega usikifanye mzigo kama mizigo mingine
unapoandika kitu angalia thamani yako na jinsi unavyoweza kuwathamini wengine, ukiwadharau watu kwa kiasi hiki wewe watakudharau zaidi na kwa harakaharaka kunaudhaifu au ukweli wa jinsi unavyoumizwa umefichwa katika matamshi yako.
 
Ila dhambi ya usaliti ni mbaya sana huwa haijawahi kumwacha mtu salama. someni ya Yuda Iskarioti.
Ndugu yako akiwa jambazi linaloua watu likiibav. akisema ficha siri ukaenda lifichua kwa kulichoma polisi utaita umelisaliti?
 
Chadema wanatia huruma eti lowasa alienda kumnasua mkwewe.ile kesi iko mahakamani raisi hawezi ingilia mahakama ni mihimili tofauti
 
Huyu Muhindi ndio Signatory Mmoja kati ya wawili wa ruzuku ya Chama, Mjumbe wa Kamati kuu na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema Halafu Makarai yansema sio Mtu Mkubwa Chadema
Chadema hawajielewi Yale magari mengi ya kampeni za M4C na helikopta kibao zilizotumiwa na Chadema na mipesa kibao iliyomwagwa kwa bodaboda,mamilioni ya michango ya harambee , na ndege za kukodi na misafara ya gari za kukodi kwenye kampeni nk hawajui kuwa ilikuwa kazi za akina Hassanali .!!!! Wacha wamponde ila wamepoteza kifaaa hasa.2020 wataendesha kampeni kwa kutembea kwa miguu Yale mahelikopta na mandege wasahau
 
Chedema hawatapiga kampeni 2020.
Wamesusa chaguzi zote mpaka tume ya uchaguzi itakapobadilishwa kwa ridhaa ya ccm.
 
umesema kweli tupu
 
Naona umeshaanza tena kuchanganyikiwa
 
unaujua utajiri wa MKAPA?......KINANA?...JK?.....CHENGE?........Mtoto wa mkulima?........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…