M Mputi Member Joined Sep 9, 2011 Posts 52 Reaction score 7 Mar 10, 2012 #1 Wkubwa naombeni mnijuze sheria inasemaje hapa, inakuaje pale wachezaji wawili au zaidi wakapiga Hat trick katika mechi moja? mpira anapewa nani?
Wkubwa naombeni mnijuze sheria inasemaje hapa, inakuaje pale wachezaji wawili au zaidi wakapiga Hat trick katika mechi moja? mpira anapewa nani?
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,680 Mar 10, 2012 #2 wanagawana!mmoja anachukua gozi mwingine bleda!teh!teh!teh!anyway jibu ni kwanza kufikia goli la 3!tena usikae ukadhani mchezaji akifunga 6 anapewa mipira 2!ni suala la kutambua tu ulichofanya kuliko mahesabu!
wanagawana!mmoja anachukua gozi mwingine bleda!teh!teh!teh!anyway jibu ni kwanza kufikia goli la 3!tena usikae ukadhani mchezaji akifunga 6 anapewa mipira 2!ni suala la kutambua tu ulichofanya kuliko mahesabu!