Hat ya ajira

Hat ya ajira

wakutomboka

Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
25
Reaction score
4
Kwa taarifa za harakaharaka na zisizo rasm imesemekana kwamba siri kali imefuta hati ya ajira kwa mwaka huu. Sasa ndugu zangu na mie tujibanebane hukuhuku kwenye sekta binafsi
 
Kama ni kweli sasa huu utata ina maana nchi imefulia namna hii? Haya sasa sijui tunaelekea wapi wandugu nadhani huu ni wakati wa kufanya mabadiliko makubwa kutokana na uamuzi mgumu.
 
Kwa taarifa za harakaharaka na zisizo rasm imesemekana kwamba siri kali imefuta hati ya ajira kwa mwaka huu. Sasa ndugu zangu na mie tujibanebane hukuhuku kwenye sekta binafsi
Inaonekana ukweli upo kwani kuna nafasi kibao watu wamepigishwa interview lakini hadi sasa watu hawaitwi kazini mfano UDOM,VETA etc.
 
Back
Top Bottom