Hata Abass Tarimba na Sportspesa yake wanaamini Simba anashinda hii game

Hata Abass Tarimba na Sportspesa yake wanaamini Simba anashinda hii game

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee.

Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda, akishinda utapata 167,000
u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000, UNAJUA NI KWA NINI?

tarimba.jpg
 
Kwenye beting timu inayopewa odds chache inanafasi kubwa ya kushinda na timu inayopewa odds nyingi inanafasi finyu ya kushinda(dhaifu).

Kwenye beting timu zikikaribiana odds inamaana hizo timu zinatoshana nguvu.
 
Tarimba ni mtu...Sportspesa ni Biashara..Two separate entities..
Kuwa mkuu/mmiliki ama mdau kwa namna yoyote haigarantii chochote..
#logicoverbiasness/emotions

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
kwa hiyo ameweka odds kubwa kwa simba akijua itabebwa na karia au?maana hata bungeni huwa analalamika simba inabebwa na tff
 
Umeelewa nilichoandika?

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
yes na wewe umeelewa nilichoandika?huyo mtu kama anaamini simba inabebwa na Tff aache shobo ya kuweka hizo odds,kwa mujibu wa odds zake ni kwamba simba ni kali zaidi inapewa chance akienda bungeni na kwenye media anatema sumu ya uchochezi na unafiki
 
Tarimba hahusiki na kuweka odds.
Odds zipo computer-generated kutokana na mechi ulizocheza.
Mfano mzuri angalia odds za mchezo wa Kaizer Chiefs na Wydad Casablanca.
Usisahau kuangalia matokeo yake pia.
 
Tarimba hahusiki na kuweka odds.
Odds zipo computer-generated kutokana na mechi ulizocheza.
Mfano mzuri angalia odds za mchezo wa Kaizer Chiefs na Wydad Casablanca.
Usisahau kuangalia matokeo yake

dah maskini
Tarimba hahusiki na kuweka odds.
Odds zipo computer-generated kutokana na mechi ulizocheza.
Mfano mzuri angalia odds za mchezo wa Kaizer Chiefs na Wydad Casablanca.
Usisahau kuangalia matokeo yake pia.
kumbe computer zimedanganywa ,team yenyewe inabebwa na karia na tff yake laiti computers za sportpesa zingejua boss wao mwenyewe hakubaliani na pafomansi ya hiyo team zisingekuja na odds hizo
 
kwa hiyo ameweka odds kubwa kwa simba akijua itabebwa na karia au?maana hata bungeni huwa analalamika simba inabebwa na tff
Duh mkuu una uelewa wowote kuhusu kubashiri au unabwabwaja tu?
 
Duh mkuu una uelewa wowote kuhusu kubashiri au unabwabwaja tu?
embu elezea wewe boss, hizo odds za sportspesa kuna team moja wana uhakika inashinda, au???unajua leo Tanzania ikicheza na england , england atapea 1 Tanzania 50,kwamba ukiweka milioni Tz akishinda unakula milioni 50 ,ila wanajua hatashinda, au wewe umeelewaje?
 
Hata hivyo Tarimba amejitahidi kujipa moyo. Wengine huku wameiua Yanga kwa mbali sana

1625315278799.png
 
Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee
Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda akishinda utapata 167,000
u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000 , UNAJUA NI KWA NINI?

View attachment 1838755
Kama kuna siku Sport Pesa watapiga hela ni Leo.
 
yes na wewe umeelewa nilichoandika?huyo mtu kama anaamini simba inabebwa na Tff aache shobo ya kuweka hizo odds,kwa mujibu wa odds zake ni kwamba simba ni kali zaidi inapewa chance akienda bungeni na kwenye media anatema sumu ya uchochezi na unafiki
Tarimba moyoni mwake anajua wazi kua Uto FC ni vimbonde kwa Mnyama. Sema tu hawezi kukubali hilo wazi wazi.
 
Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee
Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda akishinda utapata 167,000
u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000 , UNAJUA NI KWA NINI?

View attachment 1838755
Chizi
 
Back
Top Bottom