CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
shangaa wewe ila akitoka hapo anaanza kusema simba inapendelewa, kwa nini naweka hizo odds yeye si anaamini team yake?Aisee
Kuna muda wa kufanya biashara na muda wa kupiga OYA OYA🤣shangaa wewe ila akitoka hapo anaanza kusema simba inapendelewa, kwa nini naweka hizo odds yeye si anaamini team yake?
kwa hiyo ameweka odds kubwa kwa simba akijua itabebwa na karia au?maana hata bungeni huwa analalamika simba inabebwa na tffTarimba ni mtu...Sportspesa ni Biashara..Two separate entities..
Kuwa mkuu/mmiliki ama mdau kwa namna yoyote haigarantii chochote..
#logicoverbiasness/emotions
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Umeelewa nilichoandika?kwa hiyo ameweka odds kubwa kwa simba akijua itabebwa na karia au?maana hata bungeni huwa analalamika simba inabebwa na tff
yes na wewe umeelewa nilichoandika?huyo mtu kama anaamini simba inabebwa na Tff aache shobo ya kuweka hizo odds,kwa mujibu wa odds zake ni kwamba simba ni kali zaidi inapewa chance akienda bungeni na kwenye media anatema sumu ya uchochezi na unafiki
Bungeni muda wa oya oya, hapo anaogopa hasara kampuni itafilisika.Kuna muda wa kufanya biashara na muda wa kupiga OYA OYA[emoji1787]
Tarimba hahusiki na kuweka odds.
Odds zipo computer-generated kutokana na mechi ulizocheza.
Mfano mzuri angalia odds za mchezo wa Kaizer Chiefs na Wydad Casablanca.
Usisahau kuangalia matokeo yake
kumbe computer zimedanganywa ,team yenyewe inabebwa na karia na tff yake laiti computers za sportpesa zingejua boss wao mwenyewe hakubaliani na pafomansi ya hiyo team zisingekuja na odds hizoTarimba hahusiki na kuweka odds.
Odds zipo computer-generated kutokana na mechi ulizocheza.
Mfano mzuri angalia odds za mchezo wa Kaizer Chiefs na Wydad Casablanca.
Usisahau kuangalia matokeo yake pia.
Duh mkuu una uelewa wowote kuhusu kubashiri au unabwabwaja tu?kwa hiyo ameweka odds kubwa kwa simba akijua itabebwa na karia au?maana hata bungeni huwa analalamika simba inabebwa na tff
embu elezea wewe boss, hizo odds za sportspesa kuna team moja wana uhakika inashinda, au???unajua leo Tanzania ikicheza na england , england atapea 1 Tanzania 50,kwamba ukiweka milioni Tz akishinda unakula milioni 50 ,ila wanajua hatashinda, au wewe umeelewaje?Duh mkuu una uelewa wowote kuhusu kubashiri au unabwabwaja tu?
Kama kuna siku Sport Pesa watapiga hela ni Leo.Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee
Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda akishinda utapata 167,000
u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000 , UNAJUA NI KWA NINI?
View attachment 1838755
Tarimba moyoni mwake anajua wazi kua Uto FC ni vimbonde kwa Mnyama. Sema tu hawezi kukubali hilo wazi wazi.yes na wewe umeelewa nilichoandika?huyo mtu kama anaamini simba inabebwa na Tff aache shobo ya kuweka hizo odds,kwa mujibu wa odds zake ni kwamba simba ni kali zaidi inapewa chance akienda bungeni na kwenye media anatema sumu ya uchochezi na unafiki
ChiziAtapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee
Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda akishinda utapata 167,000
u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000 , UNAJUA NI KWA NINI?
View attachment 1838755