Hata Afrika tuna Falsafa yetu.

Hata Afrika tuna Falsafa yetu.

princebujonde

Senior Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
198
Reaction score
55
Kwa wale mnaolitambua somo la falsafa (philosophy) kuna dhana moja potofu sana kwamba uyunani ya kale(ancient Greece) ndio wa kwanza kustaarabika na kujenga msingi wa'' wisdom''. hata Gwiji wa historia Hegel aliwahi kujikwaa akisema ''Africa has no part of history of the world--it is just a mere impact of contact between Europe and Asia'' lakini sasa imekua wazi kwamba Africa has its own wisdom famously is called ''Ethno philosophy or sage philosophy''. Shukrani za pekee ziwaendee Magwiji wazamivu kama Chinua Achebe, Ngugi wa Thio'ngo, Okot p Bitek, Alexis Kagame, Maulana Karenga (Nguzo Saba), Molefi Ikwe na wengine wengi waliotetea dhana ya Umajumuni wa Africa. Sasa ni wakati wetu kuisoma na kuielewa dhana hii ya falsafa ya Kiafrica(African Philosophy).

Nawatakia fikra Pevu.:israel:
 
Umeleta wazo la msingi sana, ila nakushauri uende ukasome vizuri kabisaa kiatabu cha Falsafa na Usanifu wa Hoja kutoka kwa Wayunani hadi Watanzania (Waafrika) kilichoandikwa na Dk Adolf Mihanjo hapo ndipo utajua ya kwamba waafrika tuna falsafa au hatuana.
 
Nyinyi wawili kuna mahala mmekosea. Mnaleta dhama hii: kwamba Waafrika TUNA falsafa, halaf hakuna hata mmoja wenu anaisema japo mojawapo ya falsafa hizo. Twambieni basi...tuna falsafa. Isemeni basi, japo moja!!!

Back
Top Bottom